Wanasiasa ni watu wabaya sana, wakitaka kukufadhili kitu bora ukatae, ni fursa ya kuwatangaza kisiasa hiyo.
Yaani mama akaona atazungumziwaje kwenye soka. Akajifanya ananunua kila goli, sasa imekuwa too much kwenye kila radio kila kiongozi, fedha za mama, fedha za mama!