Ukiimpenda mwanamme sana atakutia wazimu, jifanye kama humpendi ili yeye ndio akupende.
Ukiwa CCCCMM sana halafu huna cheo ni ngumu kupata uteuzi. Ukiwa mpwinzani sana utapa cheo na ukirudi cccccm utapata cheo zaidi
Kuna mpinzani alietoka Upinzani hana cheo?
1. Kitilayaa
2. Kafulilayaa
3. Waitararaa
4. Nasaririio
5. Mtatiroro
6. MSIGWAAA
7
8
9
10
na wengine wengi
unatokiwa uwe upinzani halafu nenda CCCCMMMM utapata cheo . hii ni sawa na simba na Yanga, ukingangania Yangaaa. kama ufe masikini kesha Jf uwe chawa wa wanasiasa badala ya kuwa chawa kwa aliekuumba