Siasa safi kwa vijana kwa ujenzi mzuri wa nchi yetu

Siasa safi kwa vijana kwa ujenzi mzuri wa nchi yetu

Daniil_T

Member
Joined
Oct 7, 2026
Posts
10
Reaction score
16
Vijana tujitahidi na kujitafakari hasa kwa vijana ambao wamebahatika kuwa na nafasi mbalimbali katika vyama vya siasa, kujizuia kutoa maneno yasiyo na sitara mbele ya vyombo vya habari.

Siasa zifanyike kwa muktadha sahihi wa ushindani wenye hoja za kimantiki zenye kujenga amani na kudumisha umoja na mshikamano kwa masilahi mapana ya nchi yetu.
 
Jambo zuri. Ili tuendelee tunahitaji vitu 4. Viongozi wetu wanajua hili. sijasikia sa100 akiongelea hivi vitu, vipo?
 
Vijana tujitahidi na kujitafakari hasa kwa vijana ambao wamebahatika kuwa na nafasi mbalimbali katika vyama vya siasa , kujizuia kutoa maneno yasiyo na sitara mbele ya vyombo vya habari . siasa zifanyike kwa muktadha sahihi wa ushindani wenye hoja za kimantiki zenye kujenga amani na kudumisha umoja na mshikamano kwa masilahi mapana ya nchi yetu.
Ushindani wenyewè wa kushin̈ana n̈a shetani?
 
Vijana tujitahidi na kujitafakari hasa kwa vijana ambao wamebahatika kuwa na nafasi mbalimbali katika vyama vya siasa, kujizuia kutoa maneno yasiyo na sitara mbele ya vyombo vya habari.

Siasa zifanyike kwa muktadha sahihi wa ushindani wenye hoja za kimantiki zenye kujenga amani na kudumisha umoja na mshikamano kwa masilahi mapana ya nchi yetu.
Huwezi pata siasa safi kwa watu kama kina kawaida na waswngerema wenzao
 
Back
Top Bottom