Aisee nyumba isiyo na Baba haiheshimiwi. Anayebisha na abishe. Ila ukweli ndiyo huo. Na ikitokea Mama hana msimamo! Anajifanya mjuaji! Anajifanya ana nguvu kama Baba! Ndiyo mambo yanaharibika kabisa.
Kule RC huku DC pale waziri ujakaa vizuri msemaji wa polisi mara msemaji wa jeshi kidogo mama naye anabwabwaja hujatulia Msingwa naye yumo ili mradi tafrani