Siasa ya Kenya Imekomaa kuliko Tz ola.....

Siasa ya Kenya Imekomaa kuliko Tz ola.....

Sasa ndo umeangalia juu juu zaidi..... Give me just one Mp mwenye amekaa for the last 25 years.... Just 1....Nitakupatia zawadi
Wewe Mkenya unatakiwa ujuwe MP wenu waliokaa muda mrefu. Unataka Mtazania ndio aje akwambie, haha. Anyway to name the few, I would say.... Kibaki, Moi, Saitoti, Biwott, Orengo and many more. All those have served their seats for more that 20yrs, wenge mkapa wamegonga 40yrs. Kwa sasa ni vigumu kutokana na the way political party in Kenya are formed, mtu anaanzisha chama leo, kesho anagombea uongozi how can you have a meaningful political agenda with overnight parties kama hizo.

Zawadi will be appreciated and no spinning [emoji23]
 
Back
Top Bottom