Siasa za Bongo husababisha nivumilie za kwetu na kuziona nafuu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Binafsi huwa nimekata tamaa likija kwenye suala la bunge letu na siasa za kwetu hapa Kenya, ila kila nikipitia jukwaa la siasa za majirani zetu yaani najikuta nikikubali siasa zetu na kuziona nafuu. Yaani kule Tanzania Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuna kipindi alihojiwa kuhusu ucheweleshwaji wa taarifa alizotoa zilizo onekana kuumbua ufisadi, akajibu kwa kutamka maneno 'udhaifu wa bunge', yaani hakusema 'bunge dhaifu' ila 'udhaifu wa bunge'.
Hayo maneno yamesababisha amebamizwa na bunge lenyewe, ilhali wakati yalikua maoni yake kwenye mahojiano.

Dunia hii kila taasisi ina udhaifu wake, hivyo sio kosa kusema 'udhaifu wa urais', lakini itakua kosa kusema 'rais dhaifu'.
Siasa zingine ziskie tu huko kwa majirani na zibaki huko huko......

Mzee MK254
kwa kweli sisi huku bana Bunge letu ni dhaifu hilo halipingiki mkuu, yaan tuna wabunge wa hovyo kuwahi kutokea

Huyo Prof Assad ni kichwa bana, ila we tuache tuu... Mambo mengi mda ni mchache

PS
Ila siasa zenu na nyie hamjambo kwa vihoja, bora ya sie mda mwingine
LOL
 
Ni kweli siasa za kwetu kuna wakati hutia kichefuchefu, ila nikianza kusoma kuhusu siasa za majirani wetu wote zikiwemo kwa Museveni, Bongo, Kagame, NkruziWhatever (huyu jamaa jina lake hunipa shida) yaani najikuta nikiufyata.
Huko kwenu mara chama kinataka kufungwa kisa baadhi ya wafuasi wameitika kwa neno 'takbir', mara kiongozi wa upinzani Mbowe ananyea debe gerezani, mara kiongozi rasmi wa upinzani ametelekeza mamilioni ya wafuasi wake na 'kurudi nyumbani', mara waziri ameingilia bifu la wasanii na kumtia ndani dudu mbaya, yaani waziri mzima anaingilia ugomvi baina ya wasanii na kuegemea upande mmoja....orodha ni ndefu ya baadhi ya matukio ambayo yakifanyika huku kwetu utaskia makelele mpaka kuzimu.
 
Makamu wa Rais wa Kenya kaiba billion 7 alafu anawaambia wananchi kwani ni nyingi? 😂😂😂 Kweli kuna nchi na inji alafu hapa wanafunzi wa Kenya wanathubutu kumuita M7 dictator

Hayo yote Uhuru alieyopatana na M7 yasahauni kabisa sababu mmemthalilisha sana M7 na ndio maana alivyotoka tu Kenya akaituma kamati yake ya Bunge kuja Tanzania mara moja kuweka uhakika wa kutumia bandari zetu.
 
Hawa jamaa democracia uchwara ndio inawaangusha
Sidhan kama m7 alifurahia kuitwa hivyo na wanachuo huku KE ikiwachekea tu
Makamu wa Rais wa Kenya kaiba billion 7 alafu anawaambia wananchi kwani ni nyingi? [emoji23][emoji23][emoji23] Kweli kuna nchi na inji alafu hapa wanafunzi wa Kenya wanathubutu kumuita M7 dictator

Hayo yote Uhuru alieyopatana na M7 yasahauni kabisa sababu mmemthalilisha sana M7 na ndio maana alivyotoka tu Kenya akaituma kamati yake ya Bunge kuja Tanzania mara moja kuweka uhakika wa kutumia bandari zetu.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hawa jamaa democracia uchwara ndio inawaangusha
Sidhan kama m7 alifurahia kuitwa hivyo na wanachuo huku KE ikiwachekea tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
M7 alikua upset kabisa baada ya kupitia hiyo kadhia alafu wanaweza kufikiri ni jambo dogo lakini linaweza kuwa linked na serikali ya Kenya ikahisishwa moja kwa moja na hilo tukio

Haiwezekani Rais anafika chuo na kukutana na hiyo kadhia secret service ya Kenya haijui what planned, maana yake walitakiwa wafanye clearing wiki au siku kadhaa nyuma kujua nini soft and hard-core threats ili waishauri Ikulu what they should risk sababu wao ndio host security machinery

Kiafrika lile lilikua tukio kubwa na baya sana kwa mtu mkubwa kama Rais kulipitia, walikuwa na jukumu la kumuambia M7 asiende kwa hiyo moja kwa moja wanawajibika kwa hiyo kadhia aliyoipata M7

Sasa watamsubiri huyo Bobby Wine awe Rais ndio arejeshe mahusiano mapya na Uganda like for this time aisee hilo tukio lime deteriorate in wholesale Uganda-Kenya diplomacy
 
Hehehe M7 alishangaa kuona watu wanaojitambua, yaani hadi raha, Kenya level nyingine, yeye hutamani sana awe rais wa EAC ikitokea tumeungana ila Wakenya ndio mfupa uliomshinda fisi.
 
Mimi na shangaa professor mzima tena mwenye uzoefu wa serikali ana shindwa na kazi yake hadi anaamua kutukana bunge..
Anafaa angalie mkataba wake wa kazi aone kama kutukana bunge ni moja wapo ya kazi ya CAG..
Profesa uchwara huyu, Tz ipo na professionals wengi wa hesabu kazi ipewe mwingine
 
M7 alikua upset kabisa baada ya kupitia hiyo kadhia alafu wanaweza kufikiri ni jambo dogo lakini linaweza kuwa linked na serikali ya Kenya ikahisishwa moja kwa moja na hilo tukio

Haiwezekani Rais anafika chuo na kukutana na hiyo kadhia secret service ya Kenya haijui what planned, maana yake walitakiwa wafanye clearing wiki au siku kadhaa nyuma kujua nini soft and hard-core threats ili waishauri Ikulu what they should risk sababu wao ndio host security machinery

Kiafrika lile lilikua tukio kubwa na baya sana kwa mtu mkubwa kama Rais kulipitia, walikuwa na jukumu la kumuambia M7 asiende kwa hiyo moja kwa moja wanawajibika kwa hiyo kadhia aliyoipata M7

Sasa watamsubiri huyo Bobby Wine awe Rais ndio arejeshe mahusiano mapya na Uganda like for this time aisee hilo tukio lime deteriorate in wholesale Uganda-Kenya diplomacy
Sure

Kumbe that why m7 alituma watu waje kuangalia bandari ya dsm

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hehehe M7 alishangaa kuona watu wanaojitambua, yaani hadi raha, Kenya level nyingine, yeye hutamani sana awe rais wa EAC ikitokea tumeungana ila Wakenya ndio mfupa uliomshinda fisi.
Upuuzi kama huo ndio ulifanya m7 apitishe bomba la mafuta huku japo total waliichagua Kenya

[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo wakenya ndio wamemchoka m7 eti na mmeshawachagulia kabisa Uganda bob wine dah

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Sure

Kumbe that why m7 alituma watu waje kuangalia bandari ya dsm

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Lile genge lilikua mobilised na serikali ya Kenya kupitia chancellor wa Nairobi University ili eti kubackfire M7 alivyoitosa Kenya kwenye pipeline and other favors, walitaka kuandaa genge kama hilo kwa JPM wakasanukiwa mapema ile ziara ikatupiliwa mbali. Ikumbukwe uhuru kupitia mkewe alikua anatoa fedha za matibabu na uangalizi wa karibu kwa Tundu Lissu alivyokua Nairobi

Upuuzi kama huo ndio ulifanya m7 apitishe bomba la mafuta huku japo total waliichagua Kenya

[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo wakenya ndio wamemchoka m7 eti na mmeshawachagulia kabisa Uganda bob wine dah

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Kwa taarifa yako Museveni ameongeza matumizi ya bandari letu na hili la reli amelivalia njuga, yeye kama yeye hana jinsi ya kujinasua.
 
Back
Top Bottom