Giovanna Upunda
Senior Member
- Aug 11, 2024
- 105
- 48
Je unafurahia siasa za aina hiyo?Takataka tupu 🤮 🤮 🤮
Hivi ni lini nyie machawa mtaachana na visiasa vya kuokoteza okoteza visivyo na kichwa Wala miguu?Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.
Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.
Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.
Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
Hii ni CCM motivated/engineered dramaMatukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.
Je unahalalisha viongozi wa Chadema kupigwa na kutekwa na viongozi wao kwa sababu tu kuna watu walitekwa?Hivi ni lini nyie machawa mtaachana na visiasa vya kuokoteza okoteza visivyo na kichwa Wala miguu?
Watu kutekwa na kupotezwa kwako sio uvunjifu wa amani ila mtu kupigwa kikofi ndio uvunjifu wa amani?
Ni nani alietekwa na chadema?Je unahalalisha viongozi wa Chadema kupigwa na kutekwa na viongozi wao kwa sababu tu kuna watu walitekwa?
Rubbish!!! Siasa majichoo halafu utakuta mtu mzima kabisa na una watoto yani maajabu ya bongoJe unafurahia siasa za aina hiyo?
Mlinzi ni mwajiriwa si mwanachama, kumbuka Makonda alimpiga makofi Jaji Warioba ukumbini, Spika Ndugai alimkung'uta na rungu magombea mwenzake ukumbini, Kolimba aliingia ukumbini mzima na afya njema akienda kuhojiwa kwanini anataka kuhamia Chadema, alitolewa ukumbini akiwa maiti! Wasira aliposhindwa ubunge na binti mdogo kiumri alikasirika akawatuma polisi wavurumishe mabomu ya machozi kila mahali!Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.
Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.
Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.
Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
Wenzenu wanaiba pesa huko(ripoti ya cag),chawa mmekomaa na propaganda za kipuuzi.Je tunakwenda wapi na siasa zinazoleta vurugu?
Chama kimejaa wahuniHali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.
Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.
Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.
Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
Fafania hapo kwenye Nyekundu pleasevurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara
walitekana na kupotezana sana kipindi cha uchaguzi wao wa ndani, sasa wanapigana na kuletana fujo wao kwa wao,Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.
Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.
Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.
Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
Bado unaamini kuna wajinga wanaoweza kujaa kwenye hii propaganda mfu?Je tunakwenda wapi na siasa zinazoleta vurugu?
Hakuna tofauti kati ya CCM na BokoharamHali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.
Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na matendo ya kihalifu dhidi ya wanachama wa chama hicho.
Matukio ya fujo na vurugu dhidi ya viongozi wa Chadema na wanachama wao yamekuwa yakitokea mara kwa mara ambapo Vitendo hivi vimekuwa vikichukuliwa na wanachama wa Chadema kama ishara za ukandamizaji wa kisiasa unaofanywa na Viongozi wa Chadema baada ya kudaiwa kupigwa kwa katibu Mwenezi wa (BAWACHA) Bi. Sigrada Mligo na Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche.
Katika video clip nyingine ikimuonyesha Dada na mwanachama wa chadema anaelalamikia uhuni unaofanywa na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kwa kuajiri kikundi cha wahuni kwa kuwashambulia manachama wa Chadema Pamoja na viongozi wengine wanaokwenda kinyume matakwa ya Mwenyekiti huyo.
Waathirika wa matukio hayo hamuyaoni?Bado unaamini kuna wajinga wanaoweza kujaa kwenye hii propaganda mfu?
Vipi kwa Chadema wanaopiga viongozi wao?Hakuna tofauti kati ya CCM na Bokoharam