Siasa za Chadema zinazoambatana na vurugu

Wajitahidi sana maana wanaweza kupoteza mvuto kwa wananchi.
 
Nyie Watu ni Wapumbavu mnooooo mnoooo, CCM ni Wapumbavu, hapa ndio mwisho wa kufikiri kwenu na hizo ndio propaganda zenu.
 
🚮🚮🚮
 
CCM wanateka,wanatesa,wanapoteza na kuua wapinzani. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.
Video hizo mbili umeziangalia? Je hao wanaolalamika kufanyiwa mambo ya kidhalimu ni CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…