Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Kwakuwa chanjo ni vijidudu vilivyofubazwa nguvu vinapandikizwa mwilini ili viishi na wewe milele, sasa je, nisipochanja Corona alafu mtu aliyechanja akaniongezea damu wakati nilipohitaji damu je, vijidudu vile (chanjo yake) haviwezi kuhamia kwangu kwenye damu yake ile aliyoniongezea na kwamba silazimiki kuchanja kama wengine walivyochanja? Kipindi fulani niliwahi kuuliza hili swali lakini hakuna mtu (wakiwemo madaktari) aliyetoa jibu.
Brexit Hero recovering from Sino-American Virus.
High Profile cum Top Brass of African Superpower Polity daring the jab.
Taswira zote kwa hisani ya google.
Brexit Hero recovering from Sino-American Virus.
High Profile cum Top Brass of African Superpower Polity daring the jab.
Taswira zote kwa hisani ya google.