Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Umeongea ukweli 100%.Chanjo za uviko ni overrated.
Huwezi kutengeneza chanjo kwa kirusi ambacho kinamitate kila baada ya miezi 3/4/5/6.
Kirusi cha ukimwi hakimutate lakini wameshindwa kupata chanjo haraka, sembuse hiki ambacho kinamutate?
Think twice mates, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Is that so?!antibiotics zitahamia kwako lakini kwa kiasi kidogo saana ambacho hakitakupa nguvu ya kuzuia maradhi.
Na nadhani pia inategemea na aina ya chanjo. Ndiyo maana ukitaka kuchangia damu watakuuliza aina ya chanjo uliyopa ta