Ni wazi mpango huu umefeli kwa kiasi hicho kwasababu waliobuni na kutekeleza mpango huu wameshindwa kabisa kufanikiwa kuwashawishi wanasiasa wenye damu ya upinzani na wenye ushawishi katika jamii kuhama vyama vyao na kujiunga CCM.
Kwa upande wa CHADEMA,wale waliokuja na Lowassa na kuondoka na Lowassa wamewathibitishia watanzania kuwa hawakuwa wapinzani hivyo kuondoka kwao kumeonekana ni mchezo mchafu tu wa kisiasa kwa lengo la kuvuruga upinzani na si kwamba upinzani hufai.
Wengine wachache waliohamia CCM ni wale ambao jina la chama ndio lililowabeba kwani hata kujulikana walikuwa hawajulikani.
Hela na resources walizotumia katika kutekeleza mpango huu wangezilekeza kwa wananchi,bila shaka kisiasa ingewasaidia zaidi katika kujenga chama chao at grassroots level.
They have failed a lot that is why we don't see any celebrations over the issue, instead we see angry people with a lot of frustrations.
Hawakujifunza kwa Dr.Slaa na pengine hawatajifunza kwa hawa wengine
Watu wenye akili walipata sema maneno haya:
"Problems can not be solved by the same level of thinking that created them".