hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Acha utoto wako,unadhani watu wote tunaishi Dar na hatuna majukumu yanayotubana?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kuna watu wanamajukumu makubwa na juzi walikuwa Dubai na timu
Kuchangia timu ni mpaka uende clabuni?
Kuna watu wanatoka south Africa kuja kuangalia gem za Simba au yanga, ww uko mbwidu Tu hapo umeenda mara ngapi?
Kaa kimya kabisa