Rose Can AVENUE
Member
- Dec 1, 2019
- 42
- 13
SASA tumesoma ili iwaje!? Sifa za kijinga hizo labda ilikuwa green house inabidi tumpongeze na kumwachia Sifa zake maana tutasahau TuKufukua na kufukia mbegu kwa kwato!!! Na mhe. Waziri anajitapa kilimo kimeimarika!!!
IKIWA HATUJUI TULIKOTOKA INA MAANA HATUJUI TUENDAKO...
Ukitazama hiyo video na alivyoshika jembe mheshimiwa unapata picha halisi jinsi siasa inavyomeza weledi...SASA tumesoma ili iwaje!? Sifa za kijinga hizo labda ilikuwa green house inabidi tumpongeze na kumwachia Sifa zake maana tutasahau Tu
Hawataki tufikirie mchezo huo ni HaPAUkitazama hiyo video na alivyoshika jembe mheshimiwa unapata picha halisi jinsi siasa inavyomeza weledi...
Huh! Green house za Mbozi zitakuwa zimevuka kiwango cha dunia...
Kuna kusoma kuelimika na kuna kusomea cheti ikiwa haitoshi pia kuna kusomea ujinga!!!