MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Habari zenu wana jamvi,
Leo ningependa tujadili siasa za Kenya,
je kujiapisha kwa Raila Odinga kuwa
Raisi wa Jamhuri ya Kenya,
hii ina impact gani kwa siasa zetu za
Afrika?
Tena kupita kiasiKenyatta kaonyesha ukomavu wa Hali ya juu wa kisiasa
Hongera zake uhuru kwa kutokumwaga damu.Habari zenu wana jamvi,
Leo ningependa tujadili siasa za Kenya,
je kujiapisha kwa Raila Odinga kuwa
Raisi wa Jamhuri ya Kenya,
hii ina impact gani kwa siasa zetu za
Afrika?
Yaani majeruhi wangekuwa ICUIngekuwa nchi ya viwanda vya cherehani watu wangekuwa wameuwawa wa kutosha pamoja na kukamatwa.
Magereza zingejaa mpaka na misikiti na makanisa vingetumika kuhifadhi wafungwa.Yaani majeruhi wangekuwa ICU