Siasa za Kenya Ni Nzito Sana

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Huko Mombasa Kenya, The meeting is over. Kalonzo Musyoka, Wetangula,Mudavadi, Oparanya, Gideon Moi and President Uhuru Kenyatta Unanimously agrees to Support Raila Odinga for President in 2022.

The formidable team will make sure all Kenyans arrive in canaan the land of fruits and honey safely

Ruto must be defeated by all means and All Kenyans are happy
 
Hatuna wakati wa kusosenekia wali na chakula mzuri.
Kwani nyie mna chakula sencor,gps au chakulaapp??
 
Wakenya bado mna zaidi ya miaka 20 kutoka kwenye migongo ya familia za Kenyatta &Oginga walio watawala toka 1960.
Tulieni tu,bila Mzee Oginga Mzee Kenyatta asingekuwa Rais.
 
Wanataka kuchapana tena mapanga
 
Nakumbuka mzee moi & Uhuru walipambana na kibaki na raila ila baadaye kibaki na Uhuru wakaungana kupambana na Raila na wakamshinda kwa msaada wa mipolisi
 
Raila will be 77 mwakani, hawezi kuwa na mawazo yoyote mapya kuisaidia Kenya. Kuna uwezekano mkubwa wa kushusha nusu mlingoti kwa nchi zote za EAC, Raila ni babu & spent force.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…