zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Watu walisema hivo hivo abt Kibaki..... But wengi wamekwenda ila bado yupo.Raila will be 77 mwakani, hawezi kuwa na mawazo yoyote mapya kuisaidia Kenya. Kuna uwezekano mkubwa wa kushusha nusu mlingoti kwa nchi zote za EAC, Raila ni babu & spent force.