technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kama sio utapeli ni Nini?
Huyu jamaa anaishi kigamboni mvomelo kafikaje uko hakuna watu wanaojitambu mpaka aende yeye p diddy?
Hii nchi ni ya vilaza kiasi gani?
Hivi hii nchi Mungu tumemkosea Nini
Watu wanaoenda kuongozwa na Malaya anayenunua watoto wa chuo na kuwagombanisha?
Hivi hii nchi itakuwa kichwa Cha wendawazimu mpaka lini?