Siasa za kujua Generation ya Chini yako unafanya nini kushepu JAMII

Bookman Oldstyle

Senior Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
147
Reaction score
47
Moja ya Michezo ambayo waTanzania hatukuamua kuinvest Kwa sababu hatuna miundombinu ya viwanja ni Mieleka Kwa waduvi wa mambo ilitakiwa kuwa makini kuhakikisha watu hawatujudge kuwa Tuko tayari kubadilika wakati bado tunataka kulalamika vitu ambavyo ni Ovious

Saikolojia hii ya hawa makamanda ni bora unatakiwa kujumuishwa katika Siasa za vyama vya Upinzani la sivyo ni kufeel heaven wakati jamii inabadilika kutokana na uwekezaji wa nchi tunazozitaja ikiwemo China, Kanada, USA n.k

Kwa Hisani ya watu wa marekani Mieleka ya John CENA inakuja kirahisi Sisi tunazani Soka pekee

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…