Usizinguke mbuyu,ni Kigwangwala mzee wa makafara.Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi, wanamuhujumu kiongozi, mashoga, wanauza dawa za kulevya n.k
Hizi ni siasa za kipuuzi, za kutafuta kiki, uchawa, na uchwara pia. Kama unayo majina ya watu fulani si uyapeleke sehemu husika au uyatoe hadharani kuliko kutishia tishia unawajua na utawataja hadharani. Haifai kufanya siasa za kitoto hivi kwa watu wazima wanaonekana wamekuwa na wamepevuka akili. Watu wa aina hii ni jokers tu.
Ujinga wa Zitto huu, kale kajamaa kapuuzi sana.Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi, wanamuhujumu kiongozi, mashoga, wanauza dawa za kulevya n.k
Hizi ni siasa za kipuuzi, za kutafuta kiki, uchawa, na uchwara pia. Kama unayo majina ya watu fulani si uyapeleke sehemu husika au uyatoe hadharani kuliko kutishia tishia unawajua na utawataja hadharani. Haifai kufanya siasa za kitoto hivi kwa watu wazima wanaonekana wamekuwa na wamepevuka akili. Watu wa aina hii ni jokers tu.
naunga mkono hoja.Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi, wanamuhujumu kiongozi, mashoga, wanauza dawa za kulevya n.k
Hizi ni siasa za kipuuzi, za kutafuta kiki, uchawa, na uchwara pia. Kama unayo majina ya watu fulani si uyapeleke sehemu husika au uyatoe hadharani kuliko kutishia tishia unawajua na utawataja hadharani. Haifai kufanya siasa za kitoto hivi kwa watu wazima wanaonekana wamekuwa na wamepevuka akili. Watu wa aina hii ni jokers tu.
Nani huyo mkuu?!!!Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi, wanamuhujumu kiongozi, mashoga, wanauza dawa za kulevya n.k
Hizi ni siasa za kipuuzi, za kutafuta kiki, uchawa, na uchwara pia. Kama unayo majina ya watu fulani si uyapeleke sehemu husika au uyatoe hadharani kuliko kutishia tishia unawajua na utawataja hadharani. Haifai kufanya siasa za kitoto hivi kwa watu wazima wanaonekana wamekuwa na wamepevuka akili. Watu wa aina hii ni jokers tu.
Wewe mwenyewe upo kwenye media hapa unafanya nini? Hiyo ndo kazi ya media wewe mtotoHuwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi, wanamuhujumu kiongozi, mashoga, wanauza dawa za kulevya n.k
Hizi ni siasa za kipuuzi, za kutafuta kiki, uchawa, na uchwara pia. Kama unayo majina ya watu fulani si uyapeleke sehemu husika au uyatoe hadharani kuliko kutishia tishia unawajua na utawataja hadharani. Haifai kufanya siasa za kitoto hivi kwa watu wazima wanaonekana wamekuwa na wamepevuka akili. Watu wa aina hii ni jokers tu.
Polepole katishia ana list ya Wala rushwa huko wizarani ila hakutaja hata mmoja. Sasa najiuliza inakuaje mafisadi wanajulikana alafu hauwashtaki ila unawatishia kuwataja majina hadharani?Nani mwingine katishia ana majina?
Polepole katishia ana list ya Wala rushwa huko wizarani ila hakutaja hata mmoja. Sasa najiuliza inakuaje mafisadi wanajulikana alafu hauwashtaki ila unawatishia kuwataja majina hadharani?