Me I and my self JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,077 Reaction score 8,828 Sep 13, 2020 #21 Moisemusajiografii said: Unakuwaga "farashuu" sana weye! Hivi ulisoma shule za wenye mtindio wa akili? Ukiambiwa utaje matusi unayajua kweli? Au ukiona neno linakupa uchungu wa kujifungua mtoto ndiyo unaita matusi? Jitafakari![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Mkuu huyo jamaa tumpuuze hana maana ni mjinga sijawahi ona aisee,
Moisemusajiografii said: Unakuwaga "farashuu" sana weye! Hivi ulisoma shule za wenye mtindio wa akili? Ukiambiwa utaje matusi unayajua kweli? Au ukiona neno linakupa uchungu wa kujifungua mtoto ndiyo unaita matusi? Jitafakari![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Mkuu huyo jamaa tumpuuze hana maana ni mjinga sijawahi ona aisee,
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,120 Reaction score 24,667 Sep 13, 2020 #22 Kawe Alumni said: Lissu ana hatari gani? Kuropoka matusi ndio hatari ? Mgombea hatari alikuwa Dr Slaa alikuwa anaelimisha Huyu Lissu amewekeza kwenye matusi Click to expand... Lissu alishawahi kuropoka matusi wapi mkuu? Hebu tafadhali kama una ushahidi wowote wa matusi aliyowahi kuyasema uyaanike hapa!
Kawe Alumni said: Lissu ana hatari gani? Kuropoka matusi ndio hatari ? Mgombea hatari alikuwa Dr Slaa alikuwa anaelimisha Huyu Lissu amewekeza kwenye matusi Click to expand... Lissu alishawahi kuropoka matusi wapi mkuu? Hebu tafadhali kama una ushahidi wowote wa matusi aliyowahi kuyasema uyaanike hapa!
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Sep 13, 2020 #23 Freyzem said: Lissu alishawahi kuropoka matusi wapi mkuu? Hebu tafadhali kama una ushahidi wowote wa matusi aliyowahi kuyasema uyaanike hapa! Click to expand... Amepewa Hadi chaguo la kutoa taarifa ya maudhui yasiyofaa nayo ameshindwa.
Freyzem said: Lissu alishawahi kuropoka matusi wapi mkuu? Hebu tafadhali kama una ushahidi wowote wa matusi aliyowahi kuyasema uyaanike hapa! Click to expand... Amepewa Hadi chaguo la kutoa taarifa ya maudhui yasiyofaa nayo ameshindwa.