Uchaguzi 2020 Siasa za Lissu ni hatari kwa usalama wa CCM

Uchaguzi 2020 Siasa za Lissu ni hatari kwa usalama wa CCM

Unakuwaga "farashuu" sana weye! Hivi ulisoma shule za wenye mtindio wa akili? Ukiambiwa utaje matusi unayajua kweli? Au ukiona neno linakupa uchungu wa kujifungua mtoto ndiyo unaita matusi? Jitafakari![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu huyo jamaa tumpuuze hana maana ni mjinga sijawahi ona aisee,
 
Lissu ana hatari gani? Kuropoka matusi ndio hatari ?

Mgombea hatari alikuwa Dr Slaa alikuwa anaelimisha

Huyu Lissu amewekeza kwenye matusi

Lissu alishawahi kuropoka matusi wapi mkuu?
Hebu tafadhali kama una ushahidi wowote wa matusi aliyowahi kuyasema uyaanike hapa!
 
Lissu alishawahi kuropoka matusi wapi mkuu?
Hebu tafadhali kama una ushahidi wowote wa matusi aliyowahi kuyasema uyaanike hapa!
Amepewa Hadi chaguo la kutoa taarifa ya maudhui yasiyofaa nayo ameshindwa.
 
Back
Top Bottom