siasa za mahusiano ya kimapenzi za maafisa halmashauri na madams walioolewa na watumishi wenzao halmashauri husika,Tunakomaje!!?

RESILIENT KATO

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
4,504
Reaction score
8,842
Umetoka nae huko mbali sana kusipojulikana,maafisa wanaanza kumpitia ,unafikiri hicho kiburi,majigambo,majivuno,kelele unaweza ku survive!!?

Pale utakapoanza kuonekana wa kawaida na hata mwenza kukutishia afisa husika kama spinning machine ya kiburi chake,je utavumilia!!?kisa watoto na siasa za kidini na Imani!!?au utatema Bungo!!?

Maafisa usalama wa halmashauri fanyeni kazi zenu hii kitu inatafuna sana chini chini,na inaumiza wengi coz walishindwa kujianasua kwenye mtego!

Jaribu kufikiria hii scene

Afisa mkuu halmashauri husika,unafiwa na mke,unamchukua mke wa mtumishi wako kwenye halmashauri husika huko mbali kijijini unamfanya kuwa mke wa muda ili ku cover nafasi ya marehem mkeo,unafikiri mwenye mke akija kupata taarifa atajionaje!!?atakufa na tai shingoni au atajifyatua bila kujali hasara atakazopata!!?

Halmasharpuri zimejaa maumivu sana kwa wengi ni vile watumishi wengi hawana pa kusemea!!

Tunywe maji kupoza kiu tusipandishe kisukari!!

Maafisa usalama kazi yenu sio kuvaa suti nyeusi na kushiriki semina za kazi maalum,mtazame haya katika utendaji wenu!!
 
Pole sana ndugu.
 
Anza kuandaa bi mdogo taratibu.
Sasa hivi usiangalie makebo tu au sura nzuri, elimu au kaajiliwa
Bali ufanye vetting ya uhakika.
Mpige tukio la kuoa, ili yeye akiliwa kiharamu haramu na wewe unakula kihalali halali.
 
ok.
Pole sana gentleman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…