Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaja bongo nyosoooo mkuuu ahahhaUzuri wenzetu hawana unafiki. Huku kwetu wanannuua mpaka Doctrates ili mtu aonekane ame accomplish mengi huku kiuhalisia ni mweupe.
Ukianza kusoma mabango na mtangazo ya sifa za TBC kwa kiongozi wetu, unaweza sema huyu ni zaidi ya Che Guevara kiuzalendo au Einstein kielimu, ila njoo kwenye uhalisia sasa, mweupeeeeeeeeeeeeee.
Kwani Samia alifanya nini cha maana kwa nchi hii hadi mkampa umakamu na urais zaidi ya kuwa mpiga domo wa chama chao ?