Uzuri wenzetu hawana unafiki. Huku kwetu wanannuua mpaka Doctrates ili mtu aonekane ame accomplish mengi huku kiuhalisia ni mweupe.
Ukianza kusoma mabango na mtangazo ya sifa za TBC kwa kiongozi wetu, unaweza sema huyu ni zaidi ya Che Guevara kiuzalendo au Einstein kielimu, ila njoo kwenye uhalisia sasa, mweupeeeeeeeeeeeeee.