Mzuka Wanajamvi!
Sasa hivi kuna mtifuano ndani ya chama cha Republican. Trump na gengeelake wanamnyooshea kidole senator minority mitch McConnell eti ndie amesasababisha Republican kufanya vibaya na kuifanya Democrats kuchukua senate.
Lakini ikumbukwe huyuhuyu Mitch McConnell alitahadharisha kabisa kabla ya uchaguz wagombea Trump aliowapendekeza (endorsed) kwa senate hawakidhi vigezo na watapoteza kina Trump wakamtukana na kumdhihaki.
Pia alitahadharisha kwenye Congress house watapoteza viti vingi sana japo watashinda kwa mbinde ma nikweli itatokea hivyo. Na wagombea 30 Trump aliowapendekeza wote wameangukiwa pua.
Republican, pollsters na vyombo vya habari walitabiri watashinda kwa kishindo tena mapemaa nakuiita Red wave. Matokeo yake wanachekwa sasa hi red splash.
Sasa hivi Ron Desantis anapigiwa debe na wajumbe wengi wa Republican agombee urais 2024 kitu ambacho kinamuuma sana Trump.
Pia wamependekeza Desantis badala ya Trump aongoze kwenye campaign ya uchaguz wa marudio ya useneta Georgia kati ya Republican Hersel Walker na incumbent pastor John Warnock wote waafrika wanadai Trump ataharibu.
Kwa upande mwengine Joe Baden yuko na furaha in a great Mood baada ya Democrats kufanya vizuri na maajabu kwenye huu. Alipohojiwa jumatano iliyopita kwa dhihaka alisema the red wsve they predicted did not happen. Na alipoulizwa kuhusu Desantis na Trump akajibu it'll be fun watching them takiyon each other.
Trump sasa hivi anakabiliwa na upinzani mkubwa kutoka kwa Governor wa Florida Ron Disantis na Governor wa Virginia Glenn Younking.
Juzi Trump kajigamba bila yeye Ron Desantis asingechaguliwa ugavana 2018 kwasababu alimkingia kifua na kumlinda kwa kura zisiibiwe wakati ni baseless allegations. Pia amemponda Youngking ni jina la kichina wakati ni uwongo.