Kitu gani kilikufanya ushindwe kupata First Class, Mbona mambo rahisi sana sanakwasababu GPA yako ni kubwa😎😎 ni nlipata 2.4
Wakati naitwa kufanya interview (maana sikupigiwa simu nikiwa chuoni kama wewe) niliktana na hao wa GPA kama zako nikawadondosha. Sihitaji GPA kufanya kazi yangu maana mambo mengi ni ya kitaalamu na hayahitaji tena elimu ya darasani, nyie wakufunzi hiyo inawatosha inabidi mji-update kila maraKitu gani kilikufanya ushindwe kupata First Class, Mbona mambo rahisi sana sana
Sasa kama ulishindwa kupata First Class utaweza elewa ukitumwa Training na ofisi Canada au Spain?
Kama mambo madogo ya darasani yalikushinda nani atakuamini kwa mambo makubwa?
Mimi mtu mzima niji update mambo ya darasani ili nipate kitu gani kwenye maishaWakati naitwa kufanya interview (maana sikupigiwa simu nikiwa chuoni kama wewe) niliktana na hao wa GPA kama zako nikawadondosha. Sihitaji GPA kufanya kazi yangu maana mambo mengi ni ya kitaalamu na hayahitaji tena elimu ya darasani, nyie wakufunzi hiyo inawatosha inabidi mji-update kila mara
Ahaaa, Nimeipenda mwenyewe NdindiWakati naitwa kufanya interview (maana sikupigiwa simu nikiwa chuoni kama wewe) niliktana na hao wa GPA kama zako nikawadondosha. Sihitaji GPA kufanya kazi yangu maana mambo mengi ni ya kitaalamu na hayahitaji tena elimu ya darasani, nyie wakufunzi hiyo inawatosha inabidi mji-update kila mara
Acha waisome namba Ahaaaa waisome nambaKuna ukweli kidogo sn degree holder anayeanza kazi halmshauri kama HR anaanza na 720,000 lakini HR huyo huyo mwenye degree anayeanza kazi siku moja NSSF anaanza na 1,840,000 nje na posho, mtu anaingia kama dereva NHIF anapata mkopo wa hadi 50M lakini mtu mwenye masters halmashauri anayeanza kazi tofauti na mkuu wa idara anaweza kukopesha hadi milioni 10 tu? Wewe huoni kama kuna tatizo hapo? bado huyo ana posho kibao, tukubali kuna tatizo kubwa sn hapa.
Ubarikiwe mkuuMimi mtu mzima niji update mambo ya darasani ili nipate kitu gani kwenye maisha
Zaidi Nipo na mtu niliyefunga nae pingu za maisha tunafanya ujinga ujinga wetu weekend na Kukumbushana ujana wetu tulivyokuwa tunafumaniana basi
Never Complicate life, Maisha ni haya Haya, Hakuna habari za Kesho
Ishi kama vile kesho haipo, Jipe Furaha na Raha kamwe USIJILINGANISHE na mtu yeyote
Mleta uzi ametoa onyo kwa vijana kujilinganisha na maisha ya Wakurugenzi wa taasisi
Uzi mzuri sana na umeeleweka vizuri wenye masikio na uzoefu tunamuunga mkono mleta uzi
Kula bata mkuu, Kula maisha
Kule kwao na sisi tuna iyo 21%? nivuke chap.Mtaongea yote lakini hapo kuna 21% za ajira huwa ni za wazanzibar, iwe ni BoT,Nhc, Nssf, Tanroands, Tanapa, n.k [emoji12][emoji12]
Vipi kuhusu Watanganyika kwenda Zenji, Wana % ngapi?Mtaongea yote lakini hapo kuna 21% za ajira huwa ni za wazanzibar, iwe ni BoT,Nhc, Nssf, Tanroands, Tanapa, n.k [emoji12][emoji12]
Mishahara minono ipo!Kuna ukweli kidogo sn degree holder anayeanza kazi halmshauri kama HR anaanza na 720,000 lakini HR huyo huyo mwenye degree anayeanza kazi siku moja NSSF anaanza na 1,840,000 nje na posho, mtu anaingia kama dereva NHIF anapata mkopo wa hadi 50M lakini mtu mwenye masters halmashauri anayeanza kazi tofauti na mkuu wa idara anaweza kukopesha hadi milioni 10 tu? Wewe huoni kama kuna tatizo hapo? bado huyo ana posho kibao, tukubali kuna tatizo kubwa sn hapa.
ninachojifunza hapa kuwa wengi hatuna uelewa na maswala ya kazi.ajira haiangalii wewe una GPA gani bali wanachoangalia ni uelewa wako ktk kazi.kuna watu wana GPA za juu lkn hawaperform.tuna vijana wengi sana wana sifa za juu lkn ukiwaweka kwenye kazi almost is zero.huwezi fananisha taaluma na utendaji kazi.ukimchukua just a form ukampa coaching anaweza kuwa mzuri kuliko graduate.Mimi ninaofanya nao kazi hakuna mwenye GPA chini ya 4.5
Sisi tulikuwa tunaajiriwa toka University moja kwa moja, Tunapigiwa simu na Chuo
Hata kazi za juzi ambazo watu inabidi wafanye Aptitude wengi wana GPA zaidi ya 4.0
Matokeo yao pia ya Sekondari ni mazuri sana sana yanavutia sana sana labda washindwe interview
Wakati watu wanasoma mliiwaita wametumwa na vijiji, Wanalipwa pesa Mnalalamika
Sasa mwenye GPA ya 4.8 alipwe sawa na wewe mwenye GPA chini ya 4.0?
Hata kama mtu alibebwa lakini na yeye anabebeka pia
Sahihi comradeMishahara minono ipo!
Inategemea na unaanza kazi wapi yani😂 na ndio maana vijana wanakomalia mashirika makubwa kama huko NSSF au PSSSF maana kwa rank hio hio ukibadilishiwa ofisi unaweza ukarudi kwenye mshahara wa laki 7!
Mhasibu mwenye CPA akiwa NSSF hawezi kulipwa sawa na mhasibu wa halmashauri au mhasibu wa ofisi ya RAS! Kuna ofisi ukijitambulisha tu kuwa unafanya huko kazi basi direct watu wanaelewa kuwa una ahueni ya maisha! Wewe njaa tena itakuwa sio swala katika maisha yako!
Kuna watu wanalipwa kama wapo peponiAcha waisome namba Ahaaaa waisome namba
Acha utapeli mimi huwezi kunipa connection wala sijaajiriwa brother tuheshimiane mwenyewe nimezoea kuhangaika kitaa, kwa ujinga wako ulisema wote waliopo huko wana GPA sijui ya 4.5 sasahivi umegeukia connection mara nije PM unataka kunipiga mizinga, sitapeliki brother endelea na connection zako mie nabaki na ujasiriamali wangu unanitosha sihitaji tena ajira zenu labda ubunge na urais vyeo vingine sihitaji hata kwa dawa.Hata kama sina ninachojua lakini kwanini nafanya kazi hapa na wewe kwanini upo huko Unalia lia
Kila mtu na bahati yake pia, Wewe huna bahati ya kuhama
Ungeku
hawanaVipi kuhusu Watanganyika kwenda Zenji, Wana % ngapi?
hakuna kitu hichoKule kwao na sisi tuna iyo 21%? nivuke chap.
Nipo Halmashauri moja wapo nchini....Mimi mpaka sasa kwa umri wangu huu sijawahi ona mtu anafanya kazi Halmashauri ana GPA ya 5.0 au hata 4.5
Mimi ninaofanya nao kazi hakuna mwenye GPA chini ya 4.5
Sisi tulikuwa tunaajiriwa toka University moja kwa moja, Tunapigiwa simu na Chuo
Hata kazi za juzi ambazo watu inabidi wafanye Aptitude wengi wana GPA zaidi ya 4.0
Matokeo yao pia ya Sekondari ni mazuri sana sana yanavutia sana sana labda washindwe interview
Wakati watu wanasoma mliiwaita wametumwa na vijiji, Wanalipwa pesa Mnalalamika
Sasa mwenye GPA ya 4.8 alipwe sawa na wewe mwenye GPA chini ya 4.0?
Hata kama mtu alibebwa lakini na yeye anabebeka pia