Siasa Za Mpira Zipo Tangu Zama Za Kina Juma Kaseja, Dickson Job Piga Kazi Achana Na Matapeli

Siasa Za Mpira Zipo Tangu Zama Za Kina Juma Kaseja, Dickson Job Piga Kazi Achana Na Matapeli

Kabisa...
Lakini kuna faida ya kua kwenye timu ya Taifa inakupandishia CV kwenda club kubwa zaidi ... Mfano Leo hii Raja Casablanca wanamtaka Job halafu hachezi timu ya Taifa inapunguza credit...
Lakini kibaya zaidi ni pale TFF wanapotafuta uhalali wa ujinga wao Kwa kumsingizia mchezaji ili aonekane mbaya watu wasilaumu kuitwa kwake utasikia Hana uzalendo au ana utovu wa nidhamu bila kufananua huo utovu wenyewe...
Acheni upumbavu wa kutetea wachezaji wenye utovu wa nidhamu. Hamuwasaidii mnazidi kuwapoteza
 
Back
Top Bottom