Puppy,
Are you convinced kwamba hao VINEGA hawana matatizo ya kutatua makwao? If yes, kwanini waamuliwe na kamati ya maandalizi kuwa theluthi (33%) inabaki kwenye shughuli za siasa za SUGU. Hii asilimia ni kubwa mno, hata Bill Gates hawezi kufanya hivi. This is not giving back to the community, this is buying the community politically kwa kutumia vipaji vya VINEGA.
Jaribu kufikiria asilimia 33 ya kipato chako, then jiulize kama unaweza kwenda kukitoa charity, then kumbuka kuwa hiyo inayobaki wanagawana VINEGA wote.
I am conviced kutokana na historia yao. Ujue asiye nacho has nothing to loose. Hawa vinega longtime walikuwa wametupwa hawana lolote kutokana na muziki wao, waliendesha maisha kwa shughuli nyingine. Lakini wameamua kuwa chambo kuwaokoa wengine, meaning kwa wao kupaza sauti kunafanya watu kama kina "Jay Mo na Afande Sele pia Inspekta Haroun kupata shows" (wote walikuwa wametupwa).
Now hauwezi ogopa kuinvest, hauwezi ogopa kutumia capital yako ili ikuzalishie in the future.
Leo mwanachi akiona kuwa wanamuziki wamejitolea that big amount (33% kama usemavyo) kuwasaidia, kesho na wao watanunua miziki yao na kuingia shows zao knowing kuwa hata sisi wanatukumbukaga.
Hakuna Gain bila Pain my friend, kama hicho kiasi cha mapato watachogawana Vinega kitakuwa kidogo (usemavyo wewe), ndio Pain yao na wananchi wao.
Wasipowasaidia hao wananchi ambao ndio market yao, kesho nani atanunua CD zao? Nani ataingia kwa shows zao??
Kazi ya kujitolea sio siasa (kama usemavyo) ni yetu sote wenye moyo wa huruma. So kuwasaidia wananchi wa Mbeya sio Siasa Za Mbilinyi bali ni kazi yetu sote wenye mapenzi mema.
Dar Si Salama pametokea mafuriko na watu wengi wamejitolea na wengine hata share yao ya sikukuu wameimega na maybe ni kwa zaidi ya 33%, nao hao utawaita wanasiasa au umaarufu?
Twitter watu wengi wamejitolea pia on #Darfloods lakini hapakuwako walosemea #Mbeyafloods so vinega wameamua kuchangia huko mbeya, divison of labour. Yote ni Tanzania yetu na ni ndugu zetu saidia uwezavyo na usipime ni kiasi gani.
Kesho Ukipata tatizo barabarani safarini na ghafla ukakutana na Sugu akakusaidia ni umaarufu atakuwa anatafuta? Utaukataa msaada wake??
Mimi naamini wanachofanya Vinega na wasamaria wema wengine wote ni sahihi kuwasaidia wana Mbeya.