Siasa za SUGU na VINEGA

Siasa za SUGU na VINEGA

Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa mafuriko hukohuko Mbeya.

Mimi, wewe na wengine wote wanajua kuwa Mbeya ni strategic area kwa shughuli za kisiasa za SUGU. Vilevile sote tulijulishwa kuwa lengo la ANTI VIRUS movement na VINEGA ni kuwakomboa wasanii toka kwenye unyonyaji wa "matajiri". Hii ni kumaanisha kuwa wasanii wawekeze kwa kutumia vipaji vyao ili wajikomboe kiuchumi.

Iwapo mgawanyo wa pesa utakuwa kama ulivyotajwa, basi VINEGA (zaidi ya 20) itabidi wagawane pesa zitakazobaki yaani asilimia 67 toa gharama za investment. Sasa tujiuliye, je huu uwekezaji wa kutoa msaada asilimia 33 ya gross income una tija kwa VINEGA? Jibu lake ni rahisi, kiuchumi/investment hakuna tija. Kwa vile kiuchumi mgawanyo huo hauna tija, je ni kwanini SUGU amesimamia kuhakikisha mgawanyo unakuwa hivyo?

Hapa ndipo tunapokuta kwamba SUGU anawatumia VINEGA kujijengea umaarufu kisiasa. Mkombozi wa kweli wa wasanii wa Bongo (iwapo wanadhurumiwa) bado hajapatikana. SUGU is just another mnyonyaji.

Ninawapa ushauri wasanii wote wanaohusika katika VINEGA kuwa makini na terms za ushirikiano wenu. Msikubali kuyumbishwayumbishwa. Kama kuna haja ya kuchangia maafa basi kila msanii apate pato lake na yeye mwenyewe kwa hiari yake akachangie maafa. Priority yenu number one inapaswa kuwa "KUTOKA KIUCHUMI".

Merry Christmass...

Huu ni ujinga mtupu, wacha wana Mbeya tuendelee kukaa bila mbunge hadi 2015. Eti Sugu mbunge, hana lolote pimbi mfupi kuliki wote huyo
 
Wajua Dar, Arusha, Mbeya na kokote Vinega wanapopiga show Sugu hachukua mgao 'as msanii'

ni ile tu inayochukuliwa na Deiwaka 'as Company'

kiasi kilichobaki Magenge wanaweka mezani wanagawana sawa

unajua ni wasanii wangapi walishasahaulika lakini sasa Clouds wameanza kuwatumia ku'counter fleva ya Vinega?
 
Huu ni ujinga mtupu, wacha wana Mbeya tuendelee kukaa bila mbunge hadi 2015. Eti Sugu mbunge, hana lolote pimbi mfupi kuliki wote huyo

jenga hoja wewe mpumbavu mkubwa

eti wabunge warefu ni bora
 
watoto mliozaliwa guest house mnamtindio wa ubongo.

Huyo ni pimbi tu na mwisho wake 2015, tayari jimbo limeshapata mtu rasmi. Nyie endeleeni tu kumjaza ujinga na hayo ma vinega yenu ndiyo atakapo rudi barabarani mwaka 2016 musije mkamkimbia
 
hawa jamaa wasifanye tena uhuni kama waliofanya kwenye ishu ya kuchangia maafa ya kilosa..yani utapeli mpaka kwenye matatizo ya watz wenzio..

hawawezi kuacha...hao kina Ruge ni vijana wa mjini....kwao kila kitu ni DILI.
 
Concert imeingiza 3.6 mil., 1.2 mil zimetumika kuwanunuulia mahindi wakazi wa jimbo la SUGU. 2.0 inatumika kucover gharama za kusafirisha VINEGA na gharama za makazi jijini Mbeya pamoja na ulinzi na gharama nyingine za maandalizi. Pesa zinazobaki ni kama sh. laki nne hivi ndizo watakazogawana VINEGA, so kila KINEGA atatoka na kama sh. elfu 20 baada ya kumsaidia SUGU kutekeleza ahadi ya sh. milioni moja na laki mbili jimboni kwake.
 
Sioni maana ya mjadala huu maana jamaa kuna sehemu anauliza swali alafu analitolea jibu yeye mwenyewe na sio sisi aliye tuuliza...........??? Sasa sisi tutachangia nini alafu vinega hawapo kwa maslai yao zaidi wapo kwa ajiri ya ukombozi wa sanaa bongo ukichanganya na mwisho wa unyonyaji wa wafu fm............jichunguze tena ujiangalie vema
 
Hivi hawa vinega wameishia wapi?
Tunawahitaji wafanye fundraising kwa ajili ya maafa ya MV Skagit.
 
Hivi hawa vinega wameishia wapi?
Tunawahitaji wafanye fundraising kwa ajili ya maafa ya MV Skagit.

Toilet paper hairudiwi mara mbili hata ukiwa bahili kiasi gani lazima uitupe ukimaliza kuitumia.
 
Uzuri wa watu wajinga ni uwepo wao kila mahala bila kikomo. Atatafuta wapuuzi wapya.
Show ya juzi ya sugu iliyofanyika dar live vinega walikua ni washirika wakubwa na walipiga show nzuri sana.
Vipi harakati za vinega zilikuumiza??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa mafuriko hukohuko Mbeya.

Mimi, wewe na wengine wote wanajua kuwa Mbeya ni strategic area kwa shughuli za kisiasa za SUGU. Vilevile sote tulijulishwa kuwa lengo la ANTI VIRUS movement na VINEGA ni kuwakomboa wasanii toka kwenye unyonyaji wa "matajiri". Hii ni kumaanisha kuwa wasanii wawekeze kwa kutumia vipaji vyao ili wajikomboe kiuchumi.

Iwapo mgawanyo wa pesa utakuwa kama ulivyotajwa, basi VINEGA (zaidi ya 20) itabidi wagawane pesa zitakazobaki yaani asilimia 67 toa gharama za investment. Sasa tujiuliye, je huu uwekezaji wa kutoa msaada asilimia 33 ya gross income una tija kwa VINEGA? Jibu lake ni rahisi, kiuchumi/investment hakuna tija. Kwa vile kiuchumi mgawanyo huo hauna tija, je ni kwanini SUGU amesimamia kuhakikisha mgawanyo unakuwa hivyo?

Hapa ndipo tunapokuta kwamba SUGU anawatumia VINEGA kujijengea umaarufu kisiasa. Mkombozi wa kweli wa wasanii wa Bongo (iwapo wanadhurumiwa) bado hajapatikana. SUGU is just another mnyonyaji.

Ninawapa ushauri wasanii wote wanaohusika katika VINEGA kuwa makini na terms za ushirikiano wenu. Msikubali kuyumbishwayumbishwa. Kama kuna haja ya kuchangia maafa basi kila msanii apate pato lake na yeye mwenyewe kwa hiari yake akachangie maafa. Priority yenu number one inapaswa kuwa "KUTOKA KIUCHUMI".

Merry Christmass...

ni mnafki ww
 
Back
Top Bottom