Siasa za Tanzania bwaana, hivi Bibi Titi Mohamed waliyekuwa wanamuenzi leo wakina mama wa CCM ndie huyu upande wa pili wa shilingi?

Rais ameingiza chaka. Huyu bibi Historia inaonyesha alikpinga mwalimu kiasi cha kufanya mipango ya kumuua, wanatajwa wengi leo iweje awe mwanamke wa kukumbukwa. Nadhani familia ya mwl Nyerere hata kama hawatasema watakuwa wamehuzunishwa sana. Makongoro upo. Sijui kwa kuwa wameona mama Maria ni mzee sana hawezi kusema kitu.
 
Na Hangaya alimsifia sana huyu Titi kwa kulikata Azimio la Arusha. Hangaya ni mpinga Nyerere.
 
Daah ukimuona mwanamke ametoboa kwenye siasa za Bongo ujue amekumbana na mengi! Makubwa na madogo!
 
🙇🙇🙇🙇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…