Siasa za Tanzania hazitabiriki, Kwa mara ya kwanza Mbowe anaingia katika uchaguzi wa mwenyekiti Taifa kama underdog

It is the right time kwa mbowe kuachia madaraka kulinda heshima. Ameshakaa madarakani miaka 21. Inatosha, na amefanya mambo mema. Ni muda sahihi sasa wa yeye kuachia ngazi na wala siyo kwa ubaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…