Majibu ya Pascal yapo hapa,Welldone!!Mkuu Paschal, hao wote ni wazalishaji wadogo sana huwezi walinganisha na IPTL, RICHMOND etc. Baadhi yao MillardAyo amewarusha Sana kwenye mtandao wake. Tanesco inachofanya ni kujaribu kuwa boost watanzania wabunifu walioanza kuunganisha mitambo yao kwenye maporomoko locally na ku supply vijiji vya jirani tena bure mwanzoni.
JPM aliposikia akaamuru wawezeshwe na waingizwe kwenye mpango maalum ili kuwawezesha baadae kufika level za juu zaidi. Hii imefanyika kati ya 2017 - 2019. Ukifatilia kwa ukaribu hizo kampuni zote ni za wazawa tena wa huko ndani ndani. Hili ni jambo la kuishukuru Tanesco na serikali badala ya kulaumu au kutilia shaka.
Hapo hakuna kampuni ya mchina,mhindi wala mzungu hata mmoja. Hao ni wabunifu wa humu humu Tanesco inajaribu kuwainua. Hujiulizi kampuni sita Total supply ni 19.6 MW ?
Ninaona aidha uko confused au unataka kwa makusudi ku confuse watu kwa lugha hiyo ya capacity factor, installed capacity, generated energy capacity, delivered energy capacity and so on. Nadhani lengo lako ni ku justify tanesco kununua umeme huo wa wamachinga na kuja kutuuzia sisi badala ya wamachinga hao kutuuzia sisi mojamkwa moja hiyo bidhaa yao ya umeme.Tutofautishe installed/capacity au generated energy capacity na delivered energy capacity. Umeme unaozalishwa siyo wote unamfikia mlaji/mteja. Lazima ujue kuna capacity factor ina husika hapo. Yaani capacity factor ni uwiano wa matumizi na uzalishaji wa umeme kwa muda maalumu waweza kuwa kwa mwezi ama mwaka. Vyanzo/miradi ya umeme ina capacity factor tofauti. Umeme wa Maji ukiwa na capacity factor ya juu.
Mimi binafsi nimekuelewa.Mkuu Paschal, hao wote ni wazalishaji wadogo sana huwezi walinganisha na IPTL, RICHMOND etc. Baadhi yao MillardAyo amewarusha Sana kwenye mtandao wake. Tanesco inachofanya ni kujaribu kuwa boost watanzania wabunifu walioanza kuunganisha mitambo yao kwenye maporomoko locally na ku supply vijiji vya jirani tena bure mwanzoni.
JPM aliposikia akaamuru wawezeshwe na waingizwe kwenye mpango maalum ili kuwawezesha baadae kufika level za juu zaidi. Hii imefanyika kati ya 2017 - 2019. Ukifatilia kwa ukaribu hizo kampuni zote ni za wazawa tena wa huko ndani ndani. Hili ni jambo la kuishukuru Tanesco na serikali badala ya kulaumu au kutilia shaka.
Hapo hakuna kampuni ya mchina,mhindi wala mzungu hata mmoja. Hao ni wabunifu wa humu humu Tanesco inajaribu kuwainua. Hujiulizi kampuni sita Total supply ni 19.6 MW ?
Uwe na Akili na wewe. Kuna sehemu Grid ya Taifa haijafka,,maana yake wanaweka umeme wa jenereta sehemu ambazo hakuna muunganiko na gridi ya Taifa.,,na hapo baadae wataunganishwa na gridWanabodi,
Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy.
Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni siasa, hivyo hivyo zozote zinazohusu utilities, maji, umeme, gesi, mafuta, na public transport ni siasa, na kwa nchi zinazotegemea mkate kama chakula kikuu, issue yoyote. ya mkate ni siasa! kuna nchi inayotegemea mkate kama chakula chake kikuu, bei ya mkate ilipanda kwa thumuni tuu!, wananchi waliingia barabarani na serikali ilipinduliwa!. Hivyo issues za Umeme sio habari mchanganyiko ni siasa!
Kwa vile tumeelezwa umeme wa Stigler ukikamilika utatosha na ziada kuuzwa nje!, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani Desemba 14, 2020 akiwa katika ziara ya kukagua ujenzi wa Mradi mkubwa wa kufua umeme wa Megawati 2115 kwa njia ya maji wa Julius Nyerere, amesema inatarajiwa kwa mwaka 2023 mahitaji ya umeme Nchini yakaongezeka kwa zaidi ya mara mbili mpaka kufikia megawati 2,770.
"Leo hii mahitaji kwa siku ni megawati 1,177.20. Kukamilika kwa mradi huu wa Julius Nyerere kutaongeza megawati 3,973 ambazo zitatumika katika shuguli za maendeleo ya kiuchumi na kijamii hivyo tunahitaji umeme wa kutosha, utakaobaki tutawauzia majirani zetu" amesema Dkt. Kalemani.
Leo asubuhi, nimesoma mahali kuwa Tanesco imesaini mikataba mipya 6 ya PPA (Power Purchase Agreements) koka kwa wazalishaji binafsi IPPs (Independent Power Producers ) wapya 6, ili kununua megawati 19.16 na kuziingiza kwenye gridi ya taifa, ndani ya miezi 18 ijayo, Jee huu sio aina mpya ya ufisadi mpya wa kisasa kama ulivyokuwa ufisadi wa Richmond, Dowans na IPTL?!.
Hebu kwanza jisomee story yenyewe
TANZANIA: TANESCO to buy 19.16 MW of green electricity from six IPPs
By Inès Magoum - Published on December 14 2020 / Modified on December 14 2020
Six Independent Power Producers (IPPs) have just concluded power purchase agreements with the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO). These private companies are developing renewable energy projects in Tanzania with a total capacity of 19.16 MW.
The state-owned Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is signing power purchase agreements (PPAs) with six independent power producers (IPPs) that are developing several renewable energy projects in Tanzania. TANESCO agrees to purchase 19.16 MW of electricity, under the supervision of the Energy and Water Regulatory Authority (EWURA) of Tanzania.
Among the selected IPPs is Nishati Lutheran Investment, which is implementing a 36-kW hydropower project at the Ijangala Falls in Makete. Similarly, Madope Hydro is implementing the 1.7 MW Madope Hydroelectric Project on the Madope River. Luponde Hydro is also signing a PPA with Tanesco for its Luponde hydroelectric project (9 kW) on the Luhololo River in Njombe. Lung’ali Natural Resources, which is implementing the Maguta hydroelectric project (1.2 MW) on the Lukosi River Falls in Kilolo, will sell its production to the utility.
Commercial operation in 18 months
The other IPP selected is NextGen Solawazi which is working on a 5 MW hydropower project in the Kigoma Special Economic Zone. SSI Energy Tanzania, which is currently building a 10 MWp solar power plant in Kahama, will also sell its production to Tanesco. According to the public company, the six private companies will have to start marketing their production within 18 months.
In the meantime, TANESCO is developing other electricity projects in Tanzania. In this way, TANESCO is supporting the Tanzanian government’s policy of achieving a 75% electrification rate by 2035. Among its projects is the construction of the Rumakali and Ruhudji hydroelectric power plants which will have capacities of 222 MW and 358 MW respectively. In July 2020, TANESCO selected Multiconsult Norge AS, a Norwegian engineering consulting firm, to provide consulting services for the two projects.
My Take:
Japo mimi ni mwandishi wa habari, na sasa nimeisha staafu rasmi, lakini kwa vile kazi ya uandishi iko kwenye damu, hivyo ikitokea habari inahitaji ufuatiliaji, mimi nitaiweka tuu humu jf, wahariri watakao iona it's newsworthy, watatuma waandishi wao kuifuatilia, au waandishi watakaona ni habari, wataifuatilia, mimi nitakuwa nimetimiza wajibu wangu kwa jamii, ila ikitokea kweli ukawa ni ufisadi mwingine, utakuja kujulikana mwaka 2025 kabla ya uchaguzi ujao, nitakachokifanya ni kuwakumbusha tuu kuwa tulinusa, tukasikia harufu, tukauliza, na hayo ndio matokeo, ila pia, sio kila unaposikia harufu ya ufisadi ni ufisadi, harufu nyingine ni harufu tuu na hakuna ufisadi wowote, vitu vingine ni ukosefu tuu wa transparency, kama zile Bilioni 1.5 kwenye ripoti fulani ya CAG, watu wakadhani ni ufisadi, ikaja kukutikana hakuna ufisadi wowote.
Maswali ni haya.
- Kwanza maendeleo yoyote ya ujenzi wa mioundo mbinu wa umeme wa maji, ni maendeleo, endelevu, hivyo wakati Watanzania tukiusubiri huu umeme wa Stigler kuingizwa kwenye gridi ya Taifa, hakuna ubaya kwa Tanesco kuendelea kununua umeme toka kwa wazalishaji binafsi waliopo, kwa vile kuna wazalishaji wengi na mikataba imesimamishwa, kwa nini Tanesco wasiendelee nao na badala yake wanasani mikataba na wazalishaji wapya?. What is so special na hawa wapya, wakati wa zamani wapo, mikataba imesitishwa na wengine wametushitaki kwa kuvunja mikataba yao?
- Kama umeme wa Stigler, unatosha, hizi PPA's 6 mpya zinazosainiwa sasa ni za nini?.
- Kule nyuma tulivunja mkataba wa Dowans kwa tuhuma za ufisadi wa kulipishwa capacity charge kubwa na Tanesco kununua umeme wa bei juu toka kwa hawa IPPs na kuuza kwa bei ya chini!, Jee this time kwenye hii mikataba mipya jee Tanesco wananunua kwa bei gani per unit na kuuza kwa bei gani, tusije kuwa tunatwanga maji kwenye kinu?
- Baada ya kuvunjwa kwa mkataba wa Dowans, tulishitakiwa, tukashindwa kesi, tukadaiwa fidia iliyotwa Tozo ya Dowans, waheshimiwa wetu kule Bunge, wakajiapisha kwa maneno kama "over my dead body!" hatulipi! did you know what happened?....we paid every single cent kimya kimya na umeme ukapandishwa bei, Watanzania wote kwa ujumla wetu, tukafidia. Kitu cha ajabu sana katika hili, kampuni ile ile ya Dowans tuliovunja nayo mkataba, ikajibadili jina kujiita Simbion, mitambo ile ile, capacity charge ile ile, na mkataba ule ule, ikaingia tena mkataba na Tanesco, na tukakawa tunawalipa hadi JPM alipoingia, akaukataa ujinga huu, ndipo mkataba wa Simbion ukasitishwa na mpaka sasa kesi iko mahakamani, sijui tumefikia wapi! Kawa haya ndio mambo ya Tanesco na hizi PPA's zake, vipi hizi PPA's sita mpya are they clean?, transparent?.
- Kuna wakati kule nyuma, Tanesco ilikuwa inaelemewa na madeni ya umeme wa hawa PPA's na situation ya Tanesco kwa sasa ikoje hadi kuendelea kununua umeme kwa hawa wazalishaji binafsi, ili Tanesco ipate faida ni lazima inunue kwa bei ya jini na kuuza kwa bei ya juu, sasa kama Tanesco haina uwezo wa kuzalisha umeme wa kutosha, kwa nini hao wazalishaji binafsi wasiruhusiwe kuuza umeme wao direct kwa watumia kwa bei ya chini, wananchi ndio wafaidike?.
- Japo tunaelezwa Stigler ikikamilika Tanzania tutakuwa na umeme wa kutosha na ziada kuuza nje. Hawa jamaa wanasema "In the meantime, TANESCO is developing other electricity projects in Tanzania. In this way, TANESCO is supporting the Tanzanian government’s policy of achieving a 75% electrification rate by 2035", wakimaanisha huo mwaka 2035, Tanzania ndio tutafikisha 75% ya mahitaji yetu ya umeme!, sasa nani anasema kweli?, jee ni kweli tutajitosheleza na ziada kuuza nje, au tutajitosheleza kwa mahitaji ya sasa kwasabu bado hajaweza ku electrify nchi nzima, hivyo hiyo ziada tutakayouza nje, tutauza huku baadhi ya vijiji vyetu havina umeme kwasababu hatuna miondombinu ya kutosha ku i electrify nchi nzima?. Which is which?.
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Wanabodi, Mimi ni mdau mkubwa wa maonyesho ya Saba Saba, kwenye Saba Saba ya Mwaka huu, nimetembelea Banda la Wakala wa Nishati Vijijini, REA kwenye maonyesho hayo, nikazungumza Mwenyekiti wa Bodi ya REA, Mkurugenzi Mtendaji, Wajumbe wa Bodi, Menejimenti na wadau wa REA kuhusu kinachofanywa na...www.jamiiforums.com
Paskali
Update
Habari yenyewe
TANESCO yasaini mkataba wa kununua umeme kwa wazalishaji wadogo
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeingia mkataba wa kununua umeme kutoka kwa wazalishaji wadogo wa kampuni sita binafsi, utakaoingia moja kwa moja kwenye kwenye gridi ya Taifa na kutumika katika maeneo mbalimbali Nchini.
Akizungumza katika hafla fupi ya kusaini mikataba kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Meneja Mwandamizi Uwekezaji, Mhandisi Costa Rubagumya alisema wawekezaji hao wamekidhi vigezo kwa mujibu wa kanuni zilizoidhinishwa na EWURA.
"Kwa mujibu wa kanuni zinazosimamia uendelezaji wa miradi midogo ya kuzalisha umeme, inaitaka TANESCO kuingia mikataba na wazalishaji umeme wadogo kwenye maeneo ambayo gridi ya Taifa bado haijafika", alisema Mhandisi Rubagumya.
Aliainisha vigezo vingine ni maeneo ambayo yanatatizo la umeme mdogo ili kuimarisha ubora wa umeme na kigezo kingine ni maeneo ya usambazaji umeme ambapo njia za umeme za TANESCO ni ndefu hivyo kusababisha upotevu wa umeme.
Mhandisi Costa alizitaja kampuni hizo kuwa ni, Kahama Solar Power Project MW 10.0, Kigoma Solar Power MW 5.0, Nishati Lutheran (DKK) Investment Ltd MW 0.36.
Makampuni mengine ni, Madope Hydropower MW 1.7, Luponde Hydropower MW 0.9 na Maguta Hydropower MW 1.2.
Wakizungumza Kwa niaba ya Wazalishaji wadogo wa umeme, Padre Luciano Mpoma na Nicholas Richardson wameishukuru Serikali kupitia TANESCO kwa kukubali kufanya nao biashara ya umeme.
Waliongeza kuwa safari ilikuwa ni ndefu lakini hatimaye wamekuwa na furaha kwani lengo la Serikali ni kuhakikisha nishati ya umeme inamgusa kila mwananchi.
Makampuni hayo yanatakiwa kuanza kuiuzia TANESCO umeme ndani ya miezi 18 kuanzia leo Disemba 08, 2020.
Update 2.
Mchango very constructive
Stiglers Gorge haijazalisha umeme na watu wanataka umeme leo. Tutajadiliana tena mambao haya huko mbeleni tukishakuwa na umeme wa ziada, ila kwa sasa hivi tuna upungufu wa mahitaji.Wanabodi,

Kwa taarifa yako uuzaji wa umeme kutoka kwa hao unawaita 'wamachinga' unaongozwa na kanuni maalumu zilizowekwa na muangalizi wa mambo haya, EWURA. Hata Tanesco bei yao ya umeme inaratibiwa/ridhiwa na EWURA. Suala la bei ya umeme ama kutoka kwa hao unaowaita 'wamachinga' ama TANESCO siyo suala la kusumbua 'akili' kiasi cha kuanza kuulizana bei ya umeme ya pande hizi mbili!Nadhani lengo lako ni ku justify tanesco kununua umeme huo wa wamachinga na kuja kutuuzia sisi badala ya wamachinga hao kutuuzia sisi mojamkwa moja hiyo bidhaa yao ya umeme.
Nadhani hapa ndipo tunapoanza kupishana!!Hivyo litasafirisha tani nane kwa operating expense hiyo hiyo kama lingesafirisha tani 10 hususani idadi ya lita za diseal nk
Paskali, Ujinga wa Tanesco ni kung'ang'ania solar. Solar is a stupid alternative. Ni umeme unaozalishwa mchana tu! Kwa 10 MW huwezi nieleza kwamba utakuwa na storage yake kwa miaka 10. Kinachowashawishi saana ni rushwa. Ukiangalia kazi zote za solar TANESCO na REA wao huwapa makampuni binafsi maana ni kazi ambazo wao wenyewe hawawezi kuzifanya, hapo wana 10% yao.Wanabodi,
Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy.
Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni siasa, hivyo hivyo zozote zinazohusu utilities, maji, umeme, gesi, mafuta, na public transport ni siasa, na kwa nchi zinazotegemea mkate kama chakula kikuu, issue yoyote. ya mkate ni siasa! kuna nchi inayotegemea mkate kama chakula chake kikuu, bei ya mkate ilipanda kwa thumuni tuu!, wananchi waliingia barabarani na serikali ilipinduliwa!. Hivyo issues za Umeme sio habari mchanganyiko ni siasa!
Kwa vile tumeelezwa umeme wa Stigler ukikamilika utatosha na ziada kuuzwa nje!, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani Desemba 14, 2020 akiwa katika ziara ya kukagua ujenzi wa Mradi mkubwa wa kufua umeme wa Megawati 2115 kwa njia ya maji wa Julius Nyerere, amesema inatarajiwa kwa mwaka 2023 mahitaji ya umeme Nchini yakaongezeka kwa zaidi ya mara mbili mpaka kufikia megawati 2,770.
"Leo hii mahitaji kwa siku ni megawati 1,177.20. Kukamilika kwa mradi huu wa Julius Nyerere kutaongeza megawati 3,973 ambazo zitatumika katika shuguli za maendeleo ya kiuchumi na kijamii hivyo tunahitaji umeme wa kutosha, utakaobaki tutawauzia majirani zetu" amesema Dkt. Kalemani.
Leo asubuhi, nimesoma mahali kuwa Tanesco imesaini mikataba mipya 6 ya PPA (Power Purchase Agreements) koka kwa wazalishaji binafsi IPPs (Independent Power Producers ) wapya 6, ili kununua megawati 19.16 na kuziingiza kwenye gridi ya taifa, ndani ya miezi 18 ijayo, Jee huu sio aina mpya ya ufisadi mpya wa kisasa kama ulivyokuwa ufisadi wa Richmond, Dowans na IPTL?!.
Hebu kwanza jisomee story yenyewe
TANZANIA: TANESCO to buy 19.16 MW of green electricity from six IPPs
By Inès Magoum - Published on December 14 2020 / Modified on December 14 2020
Six Independent Power Producers (IPPs) have just concluded power purchase agreements with the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO). These private companies are developing renewable energy projects in Tanzania with a total capacity of 19.16 MW.
The state-owned Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is signing power purchase agreements (PPAs) with six independent power producers (IPPs) that are developing several renewable energy projects in Tanzania. TANESCO agrees to purchase 19.16 MW of electricity, under the supervision of the Energy and Water Regulatory Authority (EWURA) of Tanzania.
Among the selected IPPs is Nishati Lutheran Investment, which is implementing a 36-kW hydropower project at the Ijangala Falls in Makete. Similarly, Madope Hydro is implementing the 1.7 MW Madope Hydroelectric Project on the Madope River. Luponde Hydro is also signing a PPA with Tanesco for its Luponde hydroelectric project (9 kW) on the Luhololo River in Njombe. Lung’ali Natural Resources, which is implementing the Maguta hydroelectric project (1.2 MW) on the Lukosi River Falls in Kilolo, will sell its production to the utility.
Commercial operation in 18 months
The other IPP selected is NextGen Solawazi which is working on a 5 MW hydropower project in the Kigoma Special Economic Zone. SSI Energy Tanzania, which is currently building a 10 MWp solar power plant in Kahama, will also sell its production to Tanesco. According to the public company, the six private companies will have to start marketing their production within 18 months.
In the meantime, TANESCO is developing other electricity projects in Tanzania. In this way, TANESCO is supporting the Tanzanian government’s policy of achieving a 75% electrification rate by 2035. Among its projects is the construction of the Rumakali and Ruhudji hydroelectric power plants which will have capacities of 222 MW and 358 MW respectively. In July 2020, TANESCO selected Multiconsult Norge AS, a Norwegian engineering consulting firm, to provide consulting services for the two projects.
My Take:
Japo mimi ni mwandishi wa habari, na sasa nimeisha staafu rasmi, lakini kwa vile kazi ya uandishi iko kwenye damu, hivyo ikitokea habari inahitaji ufuatiliaji, mimi nitaiweka tuu humu jf, wahariri watakao iona it's newsworthy, watatuma waandishi wao kuifuatilia, au waandishi watakaona ni habari, wataifuatilia, mimi nitakuwa nimetimiza wajibu wangu kwa jamii, ila ikitokea kweli ukawa ni ufisadi mwingine, utakuja kujulikana mwaka 2025 kabla ya uchaguzi ujao, nitakachokifanya ni kuwakumbusha tuu kuwa tulinusa, tukasikia harufu, tukauliza, na hayo ndio matokeo, ila pia, sio kila unaposikia harufu ya ufisadi ni ufisadi, harufu nyingine ni harufu tuu na hakuna ufisadi wowote, vitu vingine ni ukosefu tuu wa transparency, kama zile Bilioni 1.5 kwenye ripoti fulani ya CAG, watu wakadhani ni ufisadi, ikaja kukutikana hakuna ufisadi wowote.
Maswali ni haya.
- Kwanza maendeleo yoyote ya ujenzi wa mioundo mbinu wa umeme wa maji, ni maendeleo, endelevu, hivyo wakati Watanzania tukiusubiri huu umeme wa Stigler kuingizwa kwenye gridi ya Taifa, hakuna ubaya kwa Tanesco kuendelea kununua umeme toka kwa wazalishaji binafsi waliopo, kwa vile kuna wazalishaji wengi na mikataba imesimamishwa, kwa nini Tanesco wasiendelee nao na badala yake wanasani mikataba na wazalishaji wapya?. What is so special na hawa wapya, wakati wa zamani wapo, mikataba imesitishwa na wengine wametushitaki kwa kuvunja mikataba yao?
- Kama umeme wa Stigler, unatosha, hizi PPA's 6 mpya zinazosainiwa sasa ni za nini?.
- Kule nyuma tulivunja mkataba wa Dowans kwa tuhuma za ufisadi wa kulipishwa capacity charge kubwa na Tanesco kununua umeme wa bei juu toka kwa hawa IPPs na kuuza kwa bei ya chini!, Jee this time kwenye hii mikataba mipya jee Tanesco wananunua kwa bei gani per unit na kuuza kwa bei gani, tusije kuwa tunatwanga maji kwenye kinu?
- Baada ya kuvunjwa kwa mkataba wa Dowans, tulishitakiwa, tukashindwa kesi, tukadaiwa fidia iliyotwa Tozo ya Dowans, waheshimiwa wetu kule Bunge, wakajiapisha kwa maneno kama "over my dead body!" hatulipi! did you know what happened?....we paid every single cent kimya kimya na umeme ukapandishwa bei, Watanzania wote kwa ujumla wetu, tukafidia. Kitu cha ajabu sana katika hili, kampuni ile ile ya Dowans tuliovunja nayo mkataba, ikajibadili jina kujiita Simbion, mitambo ile ile, capacity charge ile ile, na mkataba ule ule, ikaingia tena mkataba na Tanesco, na tukakawa tunawalipa hadi JPM alipoingia, akaukataa ujinga huu, ndipo mkataba wa Simbion ukasitishwa na mpaka sasa kesi iko mahakamani, sijui tumefikia wapi! Kawa haya ndio mambo ya Tanesco na hizi PPA's zake, vipi hizi PPA's sita mpya are they clean?, transparent?.
- Kuna wakati kule nyuma, Tanesco ilikuwa inaelemewa na madeni ya umeme wa hawa PPA's na situation ya Tanesco kwa sasa ikoje hadi kuendelea kununua umeme kwa hawa wazalishaji binafsi, ili Tanesco ipate faida ni lazima inunue kwa bei ya jini na kuuza kwa bei ya juu, sasa kama Tanesco haina uwezo wa kuzalisha umeme wa kutosha, kwa nini hao wazalishaji binafsi wasiruhusiwe kuuza umeme wao direct kwa watumia kwa bei ya chini, wananchi ndio wafaidike?.
- Japo tunaelezwa Stigler ikikamilika Tanzania tutakuwa na umeme wa kutosha na ziada kuuza nje. Hawa jamaa wanasema "In the meantime, TANESCO is developing other electricity projects in Tanzania. In this way, TANESCO is supporting the Tanzanian government’s policy of achieving a 75% electrification rate by 2035", wakimaanisha huo mwaka 2035, Tanzania ndio tutafikisha 75% ya mahitaji yetu ya umeme!, sasa nani anasema kweli?, jee ni kweli tutajitosheleza na ziada kuuza nje, au tutajitosheleza kwa mahitaji ya sasa kwasabu bado hajaweza ku electrify nchi nzima, hivyo hiyo ziada tutakayouza nje, tutauza huku baadhi ya vijiji vyetu havina umeme kwasababu hatuna miondombinu ya kutosha ku i electrify nchi nzima?. Which is which?.
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Wanabodi, Mimi ni mdau mkubwa wa maonyesho ya Saba Saba, kwenye Saba Saba ya Mwaka huu, nimetembelea Banda la Wakala wa Nishati Vijijini, REA kwenye maonyesho hayo, nikazungumza Mwenyekiti wa Bodi ya REA, Mkurugenzi Mtendaji, Wajumbe wa Bodi, Menejimenti na wadau wa REA kuhusu kinachofanywa na...www.jamiiforums.com
Paskali
Update
Habari yenyewe
TANESCO yasaini mkataba wa kununua umeme kwa wazalishaji wadogo
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeingia mkataba wa kununua umeme kutoka kwa wazalishaji wadogo wa kampuni sita binafsi, utakaoingia moja kwa moja kwenye kwenye gridi ya Taifa na kutumika katika maeneo mbalimbali Nchini.
Akizungumza katika hafla fupi ya kusaini mikataba kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Meneja Mwandamizi Uwekezaji, Mhandisi Costa Rubagumya alisema wawekezaji hao wamekidhi vigezo kwa mujibu wa kanuni zilizoidhinishwa na EWURA.
"Kwa mujibu wa kanuni zinazosimamia uendelezaji wa miradi midogo ya kuzalisha umeme, inaitaka TANESCO kuingia mikataba na wazalishaji umeme wadogo kwenye maeneo ambayo gridi ya Taifa bado haijafika", alisema Mhandisi Rubagumya.
Aliainisha vigezo vingine ni maeneo ambayo yanatatizo la umeme mdogo ili kuimarisha ubora wa umeme na kigezo kingine ni maeneo ya usambazaji umeme ambapo njia za umeme za TANESCO ni ndefu hivyo kusababisha upotevu wa umeme.
Mhandisi Costa alizitaja kampuni hizo kuwa ni, Kahama Solar Power Project MW 10.0, Kigoma Solar Power MW 5.0, Nishati Lutheran (DKK) Investment Ltd MW 0.36.
Makampuni mengine ni, Madope Hydropower MW 1.7, Luponde Hydropower MW 0.9 na Maguta Hydropower MW 1.2.
Wakizungumza Kwa niaba ya Wazalishaji wadogo wa umeme, Padre Luciano Mpoma na Nicholas Richardson wameishukuru Serikali kupitia TANESCO kwa kukubali kufanya nao biashara ya umeme.
Waliongeza kuwa safari ilikuwa ni ndefu lakini hatimaye wamekuwa na furaha kwani lengo la Serikali ni kuhakikisha nishati ya umeme inamgusa kila mwananchi.
Makampuni hayo yanatakiwa kuanza kuiuzia TANESCO umeme ndani ya miezi 18 kuanzia leo Disemba 08, 2020.
Update 2.
Mchango very constructive
Mhandisi Costa alizitaja kampuni hizo kuwa ni, Kahama Solar Power Project MW 10.0, Kigoma Solar Power MW 5.0, Nishati Lutheran (DKK) Investment Ltd MW 0.36.
Makampuni mengine ni, Madope Hydropower MW 1.7, Luponde Hydropower MW 0.9 na Maguta Hydropower MW 1.2.
Wakizungumza Kwa niaba ya Wazalishaji wadogo wa umeme, Padre Luciano Mpoma na Nicholas Richardson wameishukuru Serikali kupitia TANESCO kwa kukubali kufanya nao biashara ya umeme.
Hivi katika nchi yetu hii kuna Umeme wa SG ndugu yangu si kila jambo unatakiwa uchangie kama hujui jambo kaa kimya ufiche ukilaza wako.Paskali bila kupunguza ladha ya uzi wako, nilishangaa na kuchanganyikiwa kusikia kuwa huu mradi wa umeme wa SG hauko kwenye miradi ya umeme inayofahamika na TANESCO!
Logic thinking inatakiwa izingatie ukweli. Siyo kweli kwamba ukiwasha generator lako la nyumbani litatumia mafuta machache kama utazima vifaa vyako vyote vya nyumbani na kubakiza taa chache za watts 5 kila moja. Siyo ukweli kwamba basi lako lenye uwezo wa kubeba abiria 60 kutoka Dar hadi Mwanza litatumia mafuta machache kama utabeba abiria 30. Kwamba kama linatumia mafuta ya lita 200 likiwa limebeba abiria 60 kwa hiyo likiwa limebeba abiria 30 litatumia mafuta ya lita 100; ni logics za vilaza wa hisabati za shule ya msingi watakaokuambia kuwa kilo moja ya mawe ni nzito kuliko kilo moja ya pamba.Kwa taarifa yako uuzaji wa umeme kutoka kwa hao unawaita 'wamachinga' unaongozwa na kanuni maalumu zilizowekwa na muangalizi wa mambo haya, EWURA. Hata Tanesco bei yao ya umeme inaratibiwa/ridhiwa na EWURA. Suala la bei ya umeme ama kutoka kwa hao unaowaita 'wamachinga' ama TANESCO siyo suala la kusumbua 'akili' kiasi cha kuanza kuulizana bei ya umeme ya pande hizi mbili!
Nadhani hapa ndipo tunapoanza kupishana!!
===
Yaani lita za mafuta ya diesel zitakazotumika kusafirisha mzigo wa tani 10 kutoka (mfano) Dar kwenda Mbeya ni sawa na kiasi hicho kwa kusafilisha mzigo wa tani nane! Kwa taarifa yako ni kuwa gari likiwa limebeba mzigo mzito huwa linalazimika kutembea kwenye gia kubwa. Gia kubwa hufyonza mafuta zaidi, ili injini iwe na uwezo wa kuhimili mzigo huo. Gari likiwa na mzigo mdogo mara nyingi linatembelea kwenye gia ndogo kwani injini haihitaji nguvu kubwa hivyo haifyonzi mafuta mengi.
Mapungufu haya uliyoyaonyesha katika hili yana ua kabisa morali ya kuamini kuwa unatosha kabisa kufafanua suala lilipo mezani bila 'upendeleo'!
Kwa maelezo hayo hapo juu, nadhani wanaJF wataamua wenyewe ni nani wanamuona "... aidha yuko confused au anataka kwa makusudi ku confuse watu kwa lugha hiyo...."
Hivi katika nchi yetu hii kuna Umeme wa SG ndugu yangu si kila jambo unatakiwa uchangie kama hujui jambo kaa kimya ufiche ukilaza wako.
Asante kwa ufafanuzi wako na pia kumradhi kwa kuchelewa kujibu bandiko lako. Nimelisoma lote. Kikubwa hapa, mengine 'gentlemanly' tukubaliane kutokukubaliana.2. Tuna off grid standby power plants zenye diseal fired generators za kisasa kwenye maeneo yote Tanzania, zilizo na capacity ya jumla ya MW sisizopungua 200MW.
Pamoja na juhudi za kumwimbia mapambio, Jiwe kaenda zake akiwa amelowa damu mwili mzima na kabeba mzigo wa manung'uniko na laana kutoka binadamu, watz wenzie.Mkuu Kuna Mambo mengi sana mmekaririshwa tu, mfano Katiba mpya,sijui tume huru ya uchaguzi,demokrasia etc. Matatizo ya nchi za Africa karibu zote hasa za watu weusi ni yaleyale. Matatizo ya watu weusi waliobakia nje ya Afrika ni yaleyale karibu nchi zote kuanzia USA, Brazil,Papua New Guinea,Jamaica etc. Turudi Afrika mashariki. Mnadai Kenya Wana tume huru na katiba mpya mbona kabla ya uchaguzi uliopita kiongozi wa tume ya uchaguzi aliokotwa kafa na kidole gumba cha kutumika kwenye mfumo wa fingerprint kimekatwa!?.. Africa ni umafia tu. Ndo maana wengine tunaamini kwenye watu sio vyama. Hata uweke katiba ipi,tume ipi, mfumo upi as long as ni hizi nchi zetu za watu weusi kama kiongozi aliyepo sio mkali Mambo ni yaleyale. Mimi hutakaa uniaminishe eti Chadema ikiingia madarakani maisha ya watanzania yatabadilika. NEVER. WHY!??.. Hulka ya wanaoongoza ni ile (Selfish,roho mbaya,njaa,asili ya umaskini,majivuno, ulimbukeni nk) na wanaoongozwa hivyo hivyo(njaa,umaskini, ujinga, kukosa Elimu,kupenda ngono,kuzaana hovyo nk). Hata ije CDM,CUF,ACT,CHAUMA as long as viongozi ni weusi na wanaoongozwa ni weusi NO CHANGES. So, wengine tunamuona angalau JPM ana moyo wa kukemea na kumaanisha. Sasa kumuamini au kutomuamini inabaki kwa mtu binafsi. Kama dini vile.