Niko makini kufuatilia na kujua kama viongozi wanaopiga kula kuamua nani atakua mwenyekiti wa chama hicho kama wana akili timamu ama Wendawazimu wanaotanguliza matumbo mbele bila kutumia akili hata za mtoto wa miaka 4.Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho kikapotea katika ramani ikafuatia CHADEMA ambayo imekuwa chama kikuu cha upinzani kwa karibia miaka 15 sasa.
Inavyoonekana ni kwamba endapo CHADEMA itafifia kipindi hiki hakuna chama mbadala cha siasa cha upinzani kwa sasa kuchukua nafasi yake.
Wanachama na wapenzi wake wengi wana machaguo makubwa matatu ambayo ni kubaki CHADEMA kupambania ndani kwa ndani, kwenda CCM au kuachana na siasa kabisa.
Kimefika tamati... Amini nawaambieni, sultan kesho anatangazwa mshindi.ACT wazalendo ndio Chama kikuu Cha upinzani na kitadumu
Chadema inajizika yenyewe bila mbambamba 21 January 2025
Happy New Year π
Jasusi M16 ....Mbutu Kigamboni block
Ataongoza familia yake, sugu na bini yai pekeeKimefika tamati... Amini nawaambieni, sultan kesho anatangazwa mshindi.
Swali kwako: Baada ya CHADEMA kufa rasmi na wafuasi wake kusambaratika,Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho kikapotea katika ramani ikafuatia CHADEMA ambayo imekuwa chama kikuu cha upinzani kwa karibia miaka 15 sasa.
Inavyoonekana ni kwamba endapo CHADEMA itafifia kipindi hiki hakuna chama mbadala cha siasa cha upinzani kwa sasa kuchukua nafasi yake.
Wanachama na wapenzi wake wengi wana machaguo makubwa matatu ambayo ni kubaki CHADEMA kupambania ndani kwa ndani, kwenda CCM au kuachana na siasa kabisa.
Ndicho Ccm ilikiplani muda mrefu kwa gharama yoyote ili kitokee kwa manufaa yake.Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho kikapotea katika ramani ikafuatia CHADEMA ambayo imekuwa chama kikuu cha upinzani kwa karibia miaka 15 sasa.
Inavyoonekana ni kwamba endapo CHADEMA itafifia kipindi hiki hakuna chama mbadala cha siasa cha upinzani kwa sasa kuchukua nafasi yake.
Wanachama na wapenzi wake wengi wana machaguo makubwa matatu ambayo ni kubaki CHADEMA kupambania ndani kwa ndani, kwenda CCM au kuachana na siasa kabisa.
ACT ilipata udumavu muda mfupi tu baada ya kuanzishwa, tofauti na Kigoma kidogo hakuna watu wenye mpango nayo kwa sehemu kubwa ya Tanganyika. Zaidi sana inaonekana CCM B.ACT ikiweka mambo yake sawa na kupata watu wenye majina makubwa ni mbadala mzuri tu.
Jamaa mshamba sana
Hata CHADEMA ikisambaratika upinzani hauwezi kufa kabisa, itachukua muda tu upinzani kujikusanya upya au hata kuibuka ndani ya CCM. Kukishakuwepo siasa za vyama vingi upinzani hauwezi kukosekana.Swali kwako: Baada ya CHADEMA kufa rasmi na wafuasi wake kusambaratika,
Unaamini roho ya upinzani nchini itakuwa imezima kabisa? Kwamba watanzania wote watakuwa muafaka na yanayoendelea katika utawala uliopo na dola yake? Kwamba watanzania wote watakuwa radhi kukubaliana na kauli zote za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT kuhusu mustakabali wa taifa hili (Totalitarianism)?
ππππ€£π€£π€£
Ccm haitaki upinzani ufe.Hata CHADEMA ikisambaratika upinzani hauwezi kufa kabisa, itachukua muda tu upinzani kujikusanya upya au hata kuibuka ndani ya CCM. Kukishakuwepo siasa za vyama vingi upinzani hauwezi kukosekana.
Btw, upinzani haujawahi kufa hata katika nchi zinazoongozwa na madikteta katili kiasi gani. North Korea kuna wapinzani wananyongwa kila kukicha kama wasaliti. Ni hulka ya msingi ya binadamu. Mobutu alikuwa ananyonga hadharani hata wenye kuhisiwa tu kutomuunga mkono lakini hakufanikiwa kikamilifu. Aliishia kukimbia nchi.Hata CHADEMA ikisambaratika upinzani hauwezi kufa kabisa, itachukua muda tu upinzani kujikusanya upya au hata kuibuka ndani ya CCM. Kukishakuwepo siasa za vyama vingi upinzani hauwezi kukosekana.
CHADEMA hakisambaratiki. Kilichopo CHADEMA ni mgongano wa kimaslahi baina ya makundi yaliyopo CCM. Kuna kundi linataka kuhamia CHADEMA kugombea urais na kuna kundi linataka CHADEMA kisiwe na nguvu kurahisisha mama apite kirahisi. Lakini hali itakuwa tete siku za usoni.Hata CHADEMA ikisambaratika upinzani hauwezi kufa kabisa, itachukua muda tu upinzani kujikusanya upya au hata kuibuka ndani ya CCM. Kukishakuwepo siasa za vyama vingi upinzani hauwezi kukosekana.