Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sio chama, bali ni nchi, Tanzania ni nchi moja inayofuata siasa ya ujamaa na kujitegemea yenye misingi minne, watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora wa CCM.Chama cha siasa kinachoongoza nchi kinajiita cha kijamaa wakati chenyewe kinaendesha nchi kibepari.
Kazi ya upinzani sio kupinga kila kitu bali kuonyesha utofauti yaani altenative. Japo Kazi ya Upinzani ni Kupinga, Lakini Sio Kupinga Kila Kitu, Kwenye Maslahi Ya Taifa, Tutangulize Utaifa, Tuwe Wamoja, Wakweli na Tusipotoshe.Kuna watu wanajifanya ni wapinzani lakini kutwa kucha wako bize kuisifia CCM.
Na kuna watu hawajasoma, lakini hoja zao ni kuwazidi maprofesa, ,(Msukuma, Kibajaji) Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.Kuna watu ni wasomi lakini matendo yao ni kama hawajasoma kabisa. (Kabudi style)
njaa zinatutesa mwana wane 😅Chanzo cha yote hayo ni njaa, wengi wanaingia kwenye siasa wakiwa hawana miradi yoyote ya kuwaletea maendeleo, matokeo yake wanajikuta wakiwa siasani wanayumba kimsimamo ili kuendana na upepo wa kuwaletea kipato.
Boss akienda kushoto, nao huenda nao, akigeukia kulia, nao hugeuka nae.
Akina BulemboChanzo cha yote hayo ni njaa, wengi wanaingia kwenye siasa wakiwa hawana miradi yoyote ya kuwaletea maendeleo, matokeo yake wanajikuta wakiwa siasani wanayumba kimsimamo ili kuendana na upepo wa kuwaletea kipato.
Boss akienda kushoto, nao huenda nao, akigeukia kulia, nao hugeuka nae.