That is the whole idea
but then i dont think they thought of it thoroughly on this
reinforcement tactic. The facts still remain the same there is a big gap
in distance from Mombasa to Kigali compared to Dar es salaam to the
same destination.
Meaning the haulage has to consider fuel cost again which will be added
to the customer and the business has to consider time, there have to be
more participants in the transportation of their goods if they are to
receive enough volume compared to dar due to distance differences.
In short this is bad tactic, until they finish the railway planned from
Mombasa to Kigali that is when they will see the fruits of using the
Mombasa port; even that will have negative effects for Kigali
transporters since they produce nothing to export outside only the
government will gain in transportation revenue not the people if not
reducing the industry to almost none existence.
By that time prices will have shoot in the market and we don't know if
businesses will be willing to lower them in short let the megalomaniac
Kagame be responsible for his own demise.
Kwa tafsiri ya haraka, bidhaa za TZ zirakuwa bei juu wkt za nchi nyngne zikiwa chini na kusababisha bidhaa za TZ zisinunulike,hvyo hasara kwa wa TZ.
jamii wale wanaosema Tanzania haitaumia sijui hawasomi habari. mombasa kuna bandari na ushuru wa kuingiza mizigo kutoka mombasa ni ile ile na kuingiza kutumia Tanzania imezidi kwa $350. wale wanosoma biashara wanajua kama kuna njia ya ku reduce cost itumie hapa wafanya biashara wa rwanda wataihama bandari ta Tanzania na watakua wanatumia ya mombasa. hii itafanya wengi kukosa kazi especially wale wasafirisha mizigo.
Well said mkuu, mbona Rwanda wanasema magari yao ya mizigo yalikuwa yanatozwa ushuru wa dola 500 kwa muda mrefu tu, walijaribu kulalamika kwa wahusika Tanzania kwa muda mrefu bila mafanikio! PK tunamlahumu mambo mengi lakini kwa hili naona hatumtendei haki.
Taarifa yako haijakamilika. Haujasema kuwa magari ya rwanda yanayoingia tanzania yamekuwa yakitozwa hiyo dola 500 for many years. Wamejaribu ku plead serikali yenu ipunguze ili hiyo gharama iendane na za nchi nyingine wanachama wa East Africa. Tanzania walikuwa wanajishebedua.
Hivi Rwanda inaingiza mizigo kiasi gani hadi iwe ishu kale ni kanchi sawa na zanzibar tu
Ni muda muafaka kwa serikali ya JK kusimama kiume na kuionyesha Rwanda kwamba tuko ngangari (Siyo vita). kulegea legea na kurudi nyuma katika maamuzi magumu tuliyokwisha chukua (kwenda DRC, na kuondoa wahamiaji wasiofuata taratibu) kunaweza kutafsiriwa kuwa sisi ni nchi ya waoga. Serikali haina budi kuiuliza Rwanda ni kwa sababu gani imeamua kuibagua Tanzania katika uamuzi wake wa kupandisha ushuru wa magari?.
Serikali ichukue uamuzi maridhawa ikiwemo Kampeni kamambe ya kuhakikisha Kagame na Washirika wake wanafikishwa the Hague kujibu mashitaki ya mauaji ya Halaiki huko Kongo.
My days will never be numbered, don't fool yourself. I don't like the entire situation with Rwanda, JK needs to put his ego aside and uses his diplomatic experiences to solve this issue. Its for better and don't wait for the worsewatusi shida kweli kweli, kuwapokea kama wakimbizi tu ishakuwa nongwa, just weight your days are numbered.
He! Kumbe sisi tunataka tulipe kodi ndogo kwao kwa magari yetu wao walipe kubwa kwetu! Mwacheni kagame ajenge uchumi wa nchi yake nyie kwenu mnajikanyaga tuTaarifa yako haijakamilika. Haujasema kuwa magari ya rwanda yanayoingia tanzania yamekuwa yakitozwa hiyo dola 500 for many years. Wamejaribu ku plead serikali yenu ipunguze ili hiyo gharama iendane na za nchi nyingine wanachama wa East Africa. Tanzania walikuwa wanajishebedua.
My days will never be numbered, don't fool yourself. I don't like the entire situation with Rwanda, JK needs to put his ego aside and uses his diplomatic experiences to solve this issue. Its for better and don't wait for the worse
Ungemshauri rais wako awe anasoma kwanza vyanzo vya migogoro kabla ya kuongea anachokiita ushauri, kagame amekerwa na ushauri wa haraka haraka wa kikwete ambao unamfanya aonekane ni kiongozi mjinga asiye na fikra wakati kiukweli amefanya kazi kubwa kuifikisha rwanda hapo ilipo leo, mwacheni kagame ajenge nchi yake au mnataka kuifanya rwanda kama zanzibar?mipango ipo mezani, ikikamilika tutaona kama kuna haja ya kutafuta suluhu na mhuni, mchu wa madaraka, mporaji wa mali asili za mataifa ya jirani , na mhalifu wa kivita dhidi ya ubinadamu DRC na rwanda. Ungekuwa na chembe ya busara hata kidogo ungelaani kwanza vitisho na kejeli za dikteta kagame kwa raisi wetu na nchi yetu. Kagame ametuonyesha jeuri na kiburi hali ya juu na tutatumia njia hiyo hiyo kumfundisha jinsi ya kuishi na mataifa jirani kwa ustaarabu, tatizo pk anadhani watu wote wana maisha ya kutangatanga kama kuku wa kienyeji kama alivyozoea yeye na watusi wenzake ! tutamshikisha adabu.
Kagame ni kichaa, sasa ukipigana na kichaa, wote ni vichaa. Je wewe umepigana na ombaomba wangapi ambao ukiwanyima pesa wanakutukana? Maneno hayaui, lakini kama atashanbulia TZ, hatuna budi kujitetea. Be smartmipango ipo mezani, ikikamilika tutaona kama kuna haja ya kutafuta suluhu na mhuni, mchu wa madaraka, mporaji wa mali asili za mataifa ya jirani , na mhalifu wa kivita dhidi ya ubinadamu DRC na rwanda. Ungekuwa na chembe ya busara hata kidogo ungelaani kwanza vitisho na kejeli za dikteta kagame kwa raisi wetu na nchi yetu. Kagame ametuonyesha jeuri na kiburi hali ya juu na tutatumia njia hiyo hiyo kumfundisha jinsi ya kuishi na mataifa jirani kwa ustaarabu, tatizo pk anadhani watu wote wana maisha ya kutangatanga kama kuku wa kienyeji kama alivyozoea yeye na watusi wenzake ! tutamshikisha adabu.
kagame ni kichaa, sasa ukipigana na kichaa, wote ni vichaa. Je wewe umepigana na ombaomba wangapi ambao ukiwanyima pesa wanakutukana? Maneno hayaui, lakini kama atashanbulia tz, hatuna budi kujitetea. Be smart