Advantage ya udhaifu wetu ktk uongozi ndiyo kinachotugharimu hapa mpaka watz wanatokwa povu kila mtu.
Kaswali kadoogo tu, reli ya kati Dar-Kigoma ingekuwa inafanya kazi Paulo asingekuwa na kiburi hiki cha kwenda Mombasa Port na kujenga reli.
Outcome za ufisadi zimetapakaa mpaka kwenye anga za kimataifa sasa zinatutafuna taratiibu.