Uchaguzi 2020 Siasa za Zitto: Serikali imegawa dawa ya Salfa ili kuua zao la korosho

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Anaandika mhe Zitto Kabwe mbobevu wa siasa za Tanzania na mtetezi wa watanzania.

Mwaka huu Serikali ya CCM imeamua kuua kabisa zao la Korosho kwa kugawa dawa ya Salfa ambayo inakausha mikorosho. Wanasema wanawakopesha Wakulima Mfuko shs 32K kwa Ruzuku wakati Mfuko sokoni ni shs 35K. CCM wanatoa ruzuku ya 3K kwa mfuko wa Salfa? Hakika CCM imechoka.

Screenshot_20201018-101654.png
 
View attachment 1603783
[emoji848][emoji848][emoji848] Kumbe ndio lengo lao hawa ccm..
 
Ni kweli korosho mwaka huu ni chache mno.
 
Back
Top Bottom