Anaandika mhe Zitto Kabwe mbobevu wa siasa za Tanzania na mtetezi wa watanzania.
Mwaka huu Serikali ya CCM imeamua kuua kabisa zao la Korosho kwa kugawa dawa ya Salfa ambayo inakausha mikorosho. Wanasema wanawakopesha Wakulima Mfuko shs 32K kwa Ruzuku wakati Mfuko sokoni ni shs 35K. CCM wanatoa ruzuku ya 3K kwa mfuko wa Salfa? Hakika CCM imechoka.
Anaandika mhe Zitto Kabwe mbobevu wa siasa za Tanzania na mtetezi wa watanzania.
Mwaka huu Serikali ya CCM imeamua kuua kabisa zao la Korosho kwa kugawa dawa ya Salfa ambayo inakausha mikorosho. Wanasema wanawakopesha Wakulima Mfuko shs 32K kwa Ruzuku wakati Mfuko sokoni ni shs 35K. CCM wanatoa ruzuku ya 3K kwa mfuko wa Salfa? Hakika CCM imechoka. View attachment 1603783