Siasa zaingia kwa continuing students chuo kukuu cha dodoma (udom)

Siasa zaingia kwa continuing students chuo kukuu cha dodoma (udom)

Raika

New Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
3
Reaction score
1
Ikumbukwe wanafunzi wengi walio mwaka wa pili vyuoni walikosa mkopo kutoka bodi ya mikopo (HESLB) na bodi ikaagiza kwamba wakifika vyuoni waombe tena (appeal) kwa shilingi elfu tano na hakuna hata mmoja aliye pewa na wakati bodi ilijua kwamba haina pesa, wanafunzi hao wakafanya kuomba tena mkopo kwa mwaka wa masomo 2012-2013 lakini bodi ikatoa kwa mwaka wa kwanza tu na kuagiza wanafunzi wanao endelea majina yao yatumwe kutoka vyuoni ili kuhakikisha kwamba ni wanafunzi wa kutoka vyuo husika, lakini kwa chuo kikuu cha dodoma imekuwa ndivyo sivyo na chuo hakitoi mchango wowote kuwasidia wanafunzi hao ili kufikisha majina yao LOAN BOARD kwa uhakiki kama vyuo vingine mfano UDSM, SAUTI, ARDHI n.k, walivyofanya na hatimaye wakapewa mkopo. SERIKALI TUNAOMBA ILITAMBUE JAMBO HILI KWANI WANAOUMIA NI WANAFUNZI NA SIO CHUO.
 
  • Thanks
Reactions: Tky
Jamani ni ukibahatika kukutana na kundi hili la wanafunzi hawa unaweza ukatoa machozi jinsi wanavyo ishi kwa shida vyuoni, tunashangaa sana kuona serikali ya Tanzania wanajadili mambo makubwa wakati madogo kama haya yamewashinda. Jamani wabunge wa bunge la jamuhuri ya mungano wa Tanzania ambao leo ni kama mulisoma kwa fedha zao wenyewe, kumbe za walipa kodi watanzania kueni hurumini kundi hili. Waziri mkuu yuko wapi? (mtoto wa mkulima) tunomba tetea kundi hili, jalibu kuchunguza hawa wanafunzi kama ni wasichana basi wameishakua malaya na wavulana ni vibaka. Serikali ijalibu kufikili nini? hatima ya hili kundi baadae
 
poleni sana,endeleeni kujikongoja hivyo hivyo kwani faida yake ipo utakapomaliza utakua huna deni,
 
Inauma sana ila tusikimbilie kushutumu uongozi wa chuo kinachotakiwa uchunguzi ufanyike kuona uzembe uko wapi,watanzania wote ni kitu kimoja tutaendelea kusaidiana kwa wale tuliopo mavyuoni ila c vizuri kuanza kufanya maovu eti kwa ajili ya shida ulionayo,MUNGU MKUBWA.
 
Hao wanachuo sio wa kuhurumia ni wanafiki,nakumbuka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu dr.wa ukweli Slaa alisema kuichagua ccm ni kuchagua janga lakini hao wanachuo ndio walimchangia fedha jk kuchukua form,je hizo fedha walizipata wapi? Wacha walionje joto la jiwe!
 
wamekusikia kaka
ila hiyo 2010 now 2012
wanafunzi wa 2010 na si sawa na wa 2012
wananchi wa 2010 si sawa na wa 2012
 
Nawashauri wanafunzi husika kufuata taratibu na kuhakikisha kuwa madai yao yanawafikia wahusika lakini madai yao yakiishia Jamiiforums sidhani kwamba suluhisho litapatikana.
 
Wanajukwaa ieleweke hivi sio wao ndio waliomchangia jk wale walikuwa wa mwaka 2010 na hao wanao umia sasa ni wale walioingia chuoni mwaka 2011 mwezi wa kumi. na ikumbukwe bado chaguzi Tanzania hazijaisha zinaendelea naamini watanyamaza na wanao chekelea sasa watalia sababu maisha ni kama mbio za vijiti.
 
Hao wanachuo sio wa kuhurumia ni wanafiki,nakumbuka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu dr.wa ukweli Slaa alisema kuichagua ccm ni kuchagua janga lakini hao wanachuo ndio walimchangia fedha jk kuchukua form,je hizo fedha walizipata wapi? Wacha walionje joto la jiwe!
mbona uko kaa konda wa Daladala kwa kukosa Elimu ? asiyependa wanafunzi wa shule
Kumchangia JK ni kosa? yy fomu alinunuliwa na Wasukuma huko Mwanza na wal sio wanachuo
mwisho wakati wa kampeni za 2010 hawa wanafunzi wa mwaka wa pili UDOM walikuwa form Six
hebu soma Chuo uone km masomo yataingia wakati umekosa Chai Chakula hata hela ya maji
Matatizo ya HELSB sio ya CCM fuatilia mikopo inavyotolewa au ulizia
sio kila ukienda choo na kukosa maji uulize Utawala (CCM na JK)
 
Lakn c walmchangiaga vasco hela ya kuchukuwa 4m5 ya kugombea
 
Hao wanachuo sio wa kuhurumia ni wanafiki,nakumbuka 2010 wakati wa uchaguzi mkuu dr.wa ukweli Slaa alisema kuichagua ccm ni kuchagua janga lakini hao wanachuo ndio walimchangia fedha jk kuchukua form,je hizo fedha walizipata wapi? Wacha walionje joto la jiwe!

ndugu usilaumu kuhusu kampeni iliyokwisha pita,jaribu kutoa mawazo yako,kwani wanachuo wengi wanapata shida sana bila fedha chuoni huishi ,chukulia kama ingekua limetokea kwenye uongozi wa slaa ungefanyaje,
 
mbona uko kaa konda wa Daladala kwa kukosa Elimu ? asiyependa wanafunzi wa shule
Kumchangia JK ni kosa? yy fomu alinunuliwa na Wasukuma huko Mwanza na wal sio wanachuo
mwisho wakati wa kampeni za 2010 hawa wanafunzi wa mwaka wa pili UDOM walikuwa form Six
hebu soma Chuo uone km masomo yataingia wakati umekosa Chai Chakula hata hela ya maji
Matatizo ya HELSB sio ya CCM fuatilia mikopo inavyotolewa au ulizia
sio kila ukienda choo na kukosa maji uulize Utawala (CCM na JK)

upo sawa ndugu,ila elewa kuwa siku zote utawala ukilegea na agency zake lazima ziwe za ovyo.
 
hapa hamuna cha jk wala slaha,tatizo ni uzalendo na uajibikaji,mfanotumaini dar uongoz hawajapeleka majina loanboard.
 
Back
Top Bottom