Siasa zetu huwa kwenye kiwango chake, mdahalo mkali ujao baina ya wagombea Urais

Siasa zetu huwa kwenye kiwango chake, mdahalo mkali ujao baina ya wagombea Urais

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Napenda sana siasa za kihivi, pale ambapo hakuna uhakika nani ataukwaa urais, wagombea wote kila mmoja anajinadi kwa kila namna. Mdahalo umeandaliwa baina ya wagombea urais ambapo watapambanishwa kwa hoja kila mmoja aeleze kwanini tumchague yeye.

Watatumia jukwaa moja na itakua mwendo wa kupambana, unaeleza masuala yote na uelewa wako na zipi sera zako unazowasilisha kuhusu nchi yetu kiuchumi, kijamii, kielimu, kiusalama, sera za uhusiano wetu kimataifa n.k. Unajiandaa kwa maswali makali kutoka kwa wataalam na wazalendo, pia unajiandaa kwa hoja zako kupanguliwa na mpinzani wako papo hapo.

Tamu sana hii, nitafuatilia kwa makini sana maana mpaka hapo sijafanya maamuzi yupi nampa kura yangu, waendelee kupambana hawa viongozi wetu wazalendo wa nchi yetu ili tupate rais anayetufaa kutupeleka kwenye kiwango kingine, Kenya ya leo inahitaji kiongozi wa aina tofauti sana na watangulizi wa awali maana tumepiga hatua sana kwenye kila nyanja.

==================

Screenshot-2022-07-11-at-13.29.08-750x375.png


Kenya’s third presidential debate will be held on 26th July 2022 ahead of the August 9 General Election. According to the Presidential Debates Secretariat, the action is set to begin at 5:00pm to 10:00pm and will be broadcast live from the Catholic University for Eastern Africa (CUEA) main campus situated in Karen, Nairobi.

The Presidential Debates Secretariat is a joint organ of the Media Owners Association, the Media Council of Kenya and the Kenya Editors’ Guild. The Secretariat organizes Presidential Debates during election years and has done so over the last 10 years in 2013 and 2017.

According to the Head of the Presidential Debates Secretariat Clifford Machoka, they expect over 40 Million eyeballs in the presidential debates. The debate will be streamed across more than 450 radio and TV stations including digital platforms.

Source: kenyanwallstreet.com
 
Back
Top Bottom