Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Naomba na kuipigia magoti serekali yetu juu ya wanasiasa kutamka mambo ya uongo hadharani yenye nia ya kudanganya umma basi sheria kali zichukuwe mkondo wake mara moja Bila huruma yoyote,
Nimesikitishwa sana na matamshi ya HECHE, kuusiana na uwanja wa ndege wa kilimanjaro ya kuwa umechukuliwa na waarabu wa OMAN, jambo ambalo si la kweli kabisa,
Uongo wa aina hii ni uongo hatari sana kwa Siasa zetu, serekali yetu, pamoja na Tume yetu iwe inazipitia hotuba za wanasiasa waongo na pale inapobainika wawe wanafikishwa mahakamani kwa uongo wao, endapo kama wanavielelezo sahihi zaidi ya vile ambavyo vipo serikalini.vinavyouthibitisha uongo wao.