Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
CCM, Imekosea, chadema Imekosea, ||, Tuanze sasa kudhibiti haya mapema asubuhi, ili yasijirudie tena, tamko liwekwe, kusiwe na lawama hapo baadae watu wazungumze Siasa safi yenye ukweli sio siasa za uongo, "" yupo mwanasiasa huko Mbeya ambaye alidiriki kuwapanga wakulima watamke serekali haiwajali wala haiwapi ugani wala mbegu, wakati wa mazao ndipo serekali inajitokeza kuwabana na kuwapangia"" Jambo la uongo kabisa.Vipi swala la mwenezi kusema chadema inapanga kuleta virusi ili uchaguzi mkuu usifanyike mkuu hujalikemea??
Hiyo hawezi kuipinga kwa sababu ni wakala wa mashetani.Vipi swala la mwenezi kusema chadema inapanga kuleta virusi ili uchaguzi mkuu usifanyike mkuu hujalikemea??
Interesting! Hukusikitishwa na ya CHADEMA kuingiza virus vya ebola? Wala hukuanzisha thread?Naomba na kuipigia magoti serekali yetu juu ya wanasiasa kutamka mambo ya uongo hadharani yenye nia ya kudanganya umma basi sheria kali zichukuwe mkondo wake mara moja Bila huruma yoyote,
Nimesikitishwa sana na matamshi ya HECHE, kuusiana na uwanja wa ndege wa kilimanjaro ya kuwa umechukuliwa na waarabu wa OMAN, jambo ambalo si la kweli kabisa,
Uongo wa aina hii ni uongo hatari sana kwa Siasa zetu, serekali yetu, pamoja na Tume yetu iwe inazipitia hotuba za wanasiasa waongo na pale inapobainika wawe wanafikishwa mahakamani kwa uongo wao, endapo kama wanavielelezo sahihi zaidi ya vile ambavyo vipo serikalini.vinavyouthibitisha uongo wao.View attachment 3287387
Kwa nini umesubiri mpaka CHADEMA ''ikosee'' ndipo uone umuhimu wa kukemea? BTW unajuaje kama ni Hecha amesema ukweli? Serikali ya Tanzania haiamiki, na ni waongo waliokubuhu.CCM, Imekosea, chadema Imekosea, ||, Tuanze sasa kudhibiti haya mapema asubuhi, ili yasijirudie tena, tamko liwekwe, kusiwe na lawama hapo baadae watu wazungumze Siasa safi yenye ukweli sio siasa za uongo, "" yupo mwanasiasa huko Mbeya ambaye alidiriki kuwapanga wakulima watamke serekali haiwajali wala haiwapi ugani wala mbegu, wakati wa mazao ndipo serekali inajitokeza kuwabana na kuwapangia"" Jambo la uongo kabisa.
Siasa za Tz na mamlaka hua zipo active kuangalia upande Mmoja Kuna double standard sanaHiyo hawezi kuipinga kwa sababu ni wakala wa mashetani.
Changamoto hua wote wanakosea ila anaechukuliwa hatua ni chadema ? Kuna yule mwenyekiti wa ccm cjui kanda gani aliwahi sema viongoz watakaopinga maendleo atadeal nao SAS hakuna kauli yyt kutoka kwa mamlaka refa wa mchezo ndo huyhy team yake inacheza ni ngumu...hakuna muhimili ambao unajihimili wenyewe so tuendelee tu kuishi iviCCM, Imekosea, chadema Imekosea, ||, Tuanze sasa kudhibiti haya mapema asubuhi, ili yasijirudie tena, tamko liwekwe, kusiwe na lawama hapo baadae watu wazungumze Siasa safi yenye ukweli sio siasa za uongo, "" yupo mwanasiasa huko Mbeya ambaye alidiriki kuwapanga wakulima watamke serekali haiwajali wala haiwapi ugani wala mbegu, wakati wa mazao ndipo serekali inajitokeza kuwabana na kuwapangia"" Jambo la uongo kabisa.
Uongo unakera sana.
Aliyepaswa kukanusha ule uzushi wa mpox,na ebola alipotelea wapi?CCM, Imekosea, chadema Imekosea, ||, Tuanze sasa kudhibiti haya mapema asubuhi, ili yasijirudie tena, tamko liwekwe, kusiwe na lawama hapo baadae watu wazungumze Siasa safi yenye ukweli sio siasa za uongo, "" yupo mwanasiasa huko Mbeya ambaye alidiriki kuwapanga wakulima watamke serekali haiwajali wala haiwapi ugani wala mbegu, wakati wa mazao ndipo serekali inajitokeza kuwabana na kuwapangia"" Jambo la uongo kabisa.
Ila ccm ni msitu wa uongoHujui Heche ni Kiongozi wa Kiwanda Cha uongo?
Double Standard ya nini? Mbona CPA mzee wa kugugu alisema kwamba CDM wamenunua vimeta,virusi vya mpox na ebola hakuna yeyote aliyetoa tamko?Naomba na kuipigia magoti serekali yetu juu ya wanasiasa kutamka mambo ya uongo hadharani yenye nia ya kudanganya umma basi sheria kali zichukuwe mkondo wake mara moja Bila huruma yoyote,
Nimesikitishwa sana na matamshi ya HECHE, kuusiana na uwanja wa ndege wa kilimanjaro ya kuwa umechukuliwa na waarabu wa OMAN, jambo ambalo si la kweli kabisa,
Uongo wa aina hii ni uongo hatari sana kwa Siasa zetu, serekali yetu, pamoja na Tume yetu iwe inazipitia hotuba za wanasiasa waongo na pale inapobainika wawe wanafikishwa mahakamani kwa uongo wao, endapo kama wanavielelezo sahihi zaidi ya vile ambavyo vipo serikalini.vinavyouthibitisha uongo wao.View attachment 3287387