FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Lets take it to their face, tubadili hicho ki-segment na kulirudisha hewani!HATUDANGANYIIIIIKIIII!!!
Lakini mbona tunadanganyika ?😉
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lets take it to their face, tubadili hicho ki-segment na kulirudisha hewani!HATUDANGANYIIIIIKIIII!!!
Siwashangai walianza na ule wimbo wa Dr. Remmy (lakini yamekuwa yale yaleee ya kwenye ule wimbo) wakafuata HAKI ELIMUuuuuuuuuu.Ni kweli serikali ya CCM imepiga marufuku lile Tangazo, ila sababu waliyotoa ni kwamba tangazo linapotosha ukweli kwani vitambulisho vya kura havitumiki kwenye chaguzi za serikali za mitaa.
Badala ya sisi kuanza kubeza maamuzi, nadhani tukubali kwamba tangazo linahitaji kuwa sahihi na kubeba maudhui madogo na makubwa kwa usahihi!! wenye tangazo wamemislead na serikali imewanasa kwani ka hakika linawahusu viongozi wengi walio madarakani
cha kufanya ni kuondoa hiyo segment inayoonyesha vitambulisho vya kura vinatumika ili liwe sahihi na kulirudisha hewani, halafu kuiongezea sauti ile sehema ya
SIDANGANYIKIIIIII!!!!!!