Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi
Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive.
Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu sana, Mimi nina maaraifa kadhaa kwenye mambo ya electonics kuanzia vifaa vaya simu, vifaa vya computer, saa, taa za mampambo, n.k. hata nikiuziwa kitu kabla sijakiuza kwa wateja wengine ni rahisi kukikagua.
Huwezi amini kuna watu wa vijijini na mikoa ya karibu hizi flash za kioxia ni adimu ama wanapigwa bei kali sana, vitu vya urembo kama taa za vyumbani kwengine hawajui wanaona kwenye status zangu, mosturizer wanaziona kwangu, n.k.
Nilianza kwa ugumu sana wateja walikuwa ni wachache sana nilikuwa nawazamia dm zao huko insta na fb, kadri nilivyozidi kuwapata pamoja na uaminifu wangu ndivyo nilivyozidi pata wateka, wengine hupeana namba wananiambia niwatumie bidhaa flani kama niliyomtumia flani.
Imebidi nisajili laini nyingine na kutumia simu maalum nayoweka status na kuwasiliana na wateja, pamoja na instagram page na fb page.
Nimeweza kupata sehemu moja wapo wanayoendaga wamachinga kununua vitu vya reja reja kwa bei ya jumla.
Kumradhi, Heading iwe

- Smartwatch za nazouziwa chimbo elf 15 nauza elf 25
- Flash hizi nauziwa kwa bei ya kujumua very cheap nauza maradufu na ofa ya muviz
- Taa za uremo nazo wanawake wanazipenda sana zinanitoa
- External
- blenda
- pasi
- majagi ya kusagia juisi
- router
- Chaja za laptop nauza kwa faida 60 %
- n.k.
Kumradhi, Heading iwe