Sidhani kama kuna mademu wakali zaidi ya hawa bongo

Sidhani kama kuna mademu wakali zaidi ya hawa bongo

Yaani muanzisha maada inabidi umuuelewe tu kama anavyotaka,mtaani wpo wakali sawa ila tunaowaona
 
Hawana uzuri wa kumzidi mke wangu haoo[emoji41] wanabebwa na media tu hawana lolote,mtaani kuna visu bwana sio hao
 
naona umetaja wazee tu/umri umeenda,awa kama asset wamefikia hatua ya disposal.
 
We jamaa ni boya kinoma yn....na napata picha demu wako atakua ni mbovu kinyama yn
 
May be uko sahihi kwa "wakali kwa umalaya".





[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Aisee sipati picha dem wako yukoje kama hao ndo wademu warembo/wazuri bongo!!!!

Huku uswahilini kuna wadem wakali mzee baba unaweza ukafikili hata choo haendi!
 
Back
Top Bottom