tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Yani kwa namna nilivyoumizwa na huyu dada, sidhani kama nitaoa katika Maisha yangu. Nimempa heshima zote, nimejitoa sana Kwa miaka 4 but ukiwa umebaki muda mfupi niende kwao nimvishe Pete mbele ya wazazi wake ananisaliti na kukiri kuwa ameliwa na hana bikra tena?!
Nimekaa kimya,nimemwachia Mungu. Atanijibia katika hili na kuvuja kwangu damu ndani ya nafsi yangu.
Ni wiki 2 sasa hata kula nashindwa,kuna muda nacheka peke yangu, mara nilie. Nimekuwa sijipendi na naona sina thamani tena. Sipendi pombe lakini imekuwa kimbilio langu na nisipokunywa mateso ni makubwa.
Eee Mungu wewe unajua bwana
Nyieeee kuna UPDATES ya huu uzi imenifika,aisee!
UPDATES:
Baada ya kunifanyia hivyo mwanzoni mwa mwaka huu,niliamua kukaa kimya ma kumwachia Mungu. Sasa jana nikiwa nimejipumzisha home mara namba ngeni inaita.Nikapokea nikasikia sauti ya kike.Nikamsikikiza,huku akiwa bado hajajitambulisha.Akaniuliza nipo wapi nikamjibu home,hakusema kuwa anataka kuja but alionesha kabisa anahitaji onana nami.Nikauliza kwani nani mwenzangu?akajibu mie Flaviana (si jina halisi). Nika respond normal,na kumjulia hali yeye na family yao kiungwana kabisa. Baada ya story hizo akaomba tuonane,me nikasema karibu nyumbani.Akasema sawa nakuja,ni kweli akafika tukaongea mengiiiiiiiiiii,nikauliza kilitokea nini?akajieleza,nikasema sawa hamna shida.
Akasema nimekuja KUOMBA MSAMAHA,nikamwambia "uenende kwa amani ya bwana,sina kinyongo na Mungu akubariki"
Weeee akaanza kulia,anasema "naomba unisamehe ili nipate kuutua mzigo nilio nao,hapa nilipo nimekata tamaa ya kuishi,hata masomo sijui kama nitamaliza. (Huyu mtu ndo anaingia mwaka wa pili wa masomo). Nikasema sina shida, moyo wangu mweupe.
Hapo analia kweli,nikauliza nini shida? Akasema nina UJAUZITO! (Asalaaaaale)!!!
Kuja kuangalia! Ni kweli shost towaaaa!
Nilichofanya ni kumpa courage basi. Baada ya ushauri na kumpa nguvu nikamwambia arudi nyumbani me nimemsamehe.
Ikaishia hivo.
Sijafurahi,nimeumia sana maana sijui hatma yake katika
1.masomo kumaliza
2.kukamilisha huu uzazi
3.kuolewa
Namwombea Mungu aweze yote hayo.
Ukiuumiza upendo wa kweli hutobaki salama.Mungu ni fundi sana sana.
Hii ni kweli na si story ama porojo.Maisha kwangu yanaendelea.Samahani kwa kuwachosha.