Sidhani kama nitakuja kuoa katika maisha yangu yote

Wanaume tunaongoza kulia lia humu JF kuliko hata wanawake. 😣
 
Ili Mwanaume ukomae kimapenzi,unatakiwa uumizwe na Wanawake wasiyopungua wa Nne! Wwe huyo ndiyo wa kwanza,hapo bado watatu!!
 
Miaka 4?? watu mna ujasiri mlikua mnapeana mabusu tu.

Pole sana


Ngoja tukupe mda tuone kama hutaoa mpk kifo chako
 
Kama vipi olewa na njemba
 
Sijajipanga kufall in love mpaka kwA mtu niliyemuona tayar hv bro hujaona vijana waliodata kisa kuzamia mapenzi mazima mazima
 
je wewe wakati unamsubiri ulikuwa unajitunza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…