carnage21
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 591
- 1,382
Zimepita siku kadhaa, Simba SC walitangaza Jezi ambazo watazitumia kwa ajiri ya Michezo ya AFRICAN Football League ambazo Zilitakiwa kuwa na Logo za Wadhamini wa Mashindano na Logo ya shindano lenyewe.
Lakini Cha Kushangaza Katika Mchezo Wa marudiano hapo Jana Dhidi ya Al Alhly, Simba SC walitumia Jezi ambazo hazikuwa na Logo za Wadhamini (Visit Rwanda na Visit Saudi) wala Logo ya Mashindano Inashangaza Sana.
Kama CAF wanahitaji Mashindano haya ya African Football League Kuwa Na Ukubwa na Bora Zaidi Afrika Mambo Kama Haya hayapaswi kujitokeza Wadhamini Wapewe Haki yao.... Walichokifanya Simba SC haipaswi kuwa hivyo.
Au ndio Soka letu Kivyetu Vyetu? 🤔
CREDIT:fredy john jr