Sidhani kama Waafrika tutaendelea na kufanikiwa kama Wazungu, Wahindi, Wachina, Waarabu, nk

Camp 05

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
3,016
Reaction score
2,883
Prof. Minzi na wengine!

Sijui kama waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo?

Nimewekeza hela nyingi sana kununua mashamba Mkoa wa Rukwa wilaya ya Kalambo about 2,000 acres.
Nimeajiri na nalipa mishahara mizuri kila mwezi for the second year! Sijaweza hata kuvuna kuanza kurudisha hela nilizowekeza. Wanapata malazi na chakula bure nje ya misharaha yao kwenye kambi ambayo nimejenga nyumba kadhaa, nimewekeza matrekta ya kilimo na mwaka huu ilikuwa tulime 500 acres kwa kuanzia. mafuta wanatumiwa, fedha za matumizi madogo madogo wanatumiwa, viongozi ni watu wazima wa elimu ya chuo kikuu nikifikiri natoa ajira kwa waafrika wenzangu. Wapo wafanyakazi kama 50 wote kila mwezi wana mishahara na kula na kulala bure kwani ni mbali na mjini.

İli kusimamia nilimweka mtoto wangu wa kiume asimamie baada ya masomo ya diploma, nikamwondoa baadaye aweze kupata exposure kwenye miradi mingine. Nilimweka mpaka mchungaji rafiki yangu wa siku nyingi awe anatupia jicho la pembeni kwenye kijiji cha jirani na namlipa allowance kwa mwezi ila sio mfanyakazi.

To my surprise, kumbe wamejenga syndicate kubwa mno kati yao viongozi na operators wa trekta na hasa baada ya kumtoa mtoto wangu kwenye kazi zingine nikimwachia uongozi kijana mwingine ambaye nilipewa na mpendwa kanisani graduate wa UDOM wa zaidi ya 5 years experience ambaye kwenye interview showed quite good command of leadership.

Kumbe kwa siri, wameanzisha vijishamba vyao wanalima kwa mafuta yangu ninayowatumia; wanalima mashamba ya wenyeji kwa hela SH. 70,000 kwa ekari na fedha wanagawana kwa siri; matrekta yangu yote mawili yameharibikia kwenye mashamba ya kulimia watu kupata hela, muda wa kulima shamba langu hawana, shamba langu nililopanga kulima 500 acres this year, Limelimwa only 50 acres na matrekta yasingeharibikia huko wangelima hekari zaidi ya 200, ambazo zimethibitishwa kulimwa; gari yangu ya shamba Canter imekatika chasis kumbe wanafanya biashara ya kubebea watu mazao, kokoto na mawe kwa kulipwa hela wanazo pocket kwa kugawana bila sisi kujua na walifanya siri kubwa.

Nilisukumwa kuomba na kufunga for 3 days last week na sasa nipo kwenye maombi ya wiki nzima ya kufunga nikizidi kuomba ustawi na mafanikio kwenye kazi za mikono yangu.

Kwenye migao yao ya fedha za siri mmoja inaelekea hakuridhika na utaratibu wa mgawanyo akiona anapunjwa, walipoona anasumbua wakamfitini na kumfukuza kazi.

Ndiye baadaye aliyeanika syndicate yote ambayo kumbe mpaka mchungaji wa pale niliyemwamini sana sana naye yumo!!!😭😭

Nikimuuliza mchungaji huyo, kulikoni yote haya yanayotokea na yeye akiwamo kuhusu, aliishia kuwa na kigugumizi na ameshindwa kabisa hata kujitetea amebaki kuomba samahani!!!!

Waafrika tunaenda wapi jamaniii!!!😭😭😭
Umaskini kweli utaondoka kwa kuwa na roho chafu na mbaya kiasi hiki kweli!!

Hivi kama sio wokovu nilionao, watu kama hao akipigwa risasi na mwekezaji mwingine kama mimi, tutamlaumu hawa wezi, walafi, watu wasio na soni wala huruma kama hawa kweli?

Nimejinyima miaka yangu yote mpaka uzeeni ili niweke urithi kwa vizazi vyangu, nijisikie nilipambana wajukuu waje kuanzia maisha bora zaidi ya yale tuliyoishi sisi, tunaishia kuwekeza kwa wezi vijana wasio na roho kiasi hiki.

Nimeshea hili ili kama taifa tujitafakari tunakwenda wapi kwa kizazi hiki tulichonacho. Hawa ndio tunaowatengeneza wawe viongozi wa kitaifa, nchi itaweza kusogea kwa mentality ya jinsi hii.

Binafsi nimeamua kutafuta ku-employ Indians or Chinese kuendesha miradi yangu, nimechoka na waswahili acha waendelee kuwa vibarua na watumwa milele na laana zao.

Waafrika tusiporudi kumtafuta na kumwinamia Mungu kwa dhamira ya dhati mioyoni mwetu, laana ya umaskini na utumwa itaendelea kututafuna milele mpaka mwisho wa dunia

Nawashuhudia nyote kwamba Maombi yanafunua hata yaliyo sirini yaliyojificha. Mungu anaangalia dhamira iliyo safi mbele zake na humwekea ulinzi mja wake, kwenye hili, binafsi nimemuona Mungu akitenda.

Glory to God Almighty🙏🏻🙏🏻🙏🏻

IMG-20241002-WA0014.jpg
 
Uaminifu na uchapakazi kwa bidii ni changamoto kubwa sana kwa watanzania. Wao wanafikiria Leo tu apate Nini azifyeke hata kwa kumpa hasara kubwa muajiri wake. Tubadilike.
 
Tatizo uliweka kipaumbele cha urafiki na kujuana na watu hilo ndio lililokugarlim kwa ushaur wangu ludisha aliekupa taarifa japo naye mwanzo alikua mwizi pia ndio awe chawa wako bila ya yeye kujuwa pia hao wengine wote fukuza hata huyo jamaa yako mchungaji tena bila kupepesa maneno/macho ajue sababu ni nn mana huyo sio mwema ni nyoka kwako inamana anaweza hata akakudhuru kwa tamaa ya pesa mana siku zote rafik,ndugu au mwanamke sio wa kuwaweka karibu na vitu ambavyo vinakuingizia kipato hata siku moja mana lazima chuki na njia ya kukupoteza kwenye raman ijitokeze tu
 
Prof. Minzi na wengine!

Sijui kama waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo?

Nimewekeza hela nyingi sana kununua mashamba Mkoa wa Rukwa wilaya ya Kalambo about 2,000 acres.
Nimeajiri na nalipa mishahara mizuri kila mwezi for the second year! Sijaweza hata kuvuna kuanza kurudisha hela nilizowekeza. Wanapata malazi na chakula bure nje ya misharaha yao kwenye kambi ambayo nimejenga nyumba kadhaa, nimewekeza matrekta ya kilimo na mwaka huu ilikuwa tulime 500 acres kwa kuanzia. mafuta wanatumiwa, fedha za matumizi madogo madogo wanatumiwa, viongozi ni watu wazima wa elimu ya chuo kikuu nikifikiri natoa ajira kwa waafrika wenzangu. Wapo wafanyakazi kama 50 wote kila mwezi wana mishahara na kula na kulala bure kwani ni mbali na mjini.

İli kusimamia nilimweka mtoto wangu wa kiume asimamie baada ya masomo ya diploma, nikamwondoa baadaye aweze kupata exposure kwenye miradi mingine. Nilimweka mpaka mchungaji rafiki yangu wa siku nyingi awe anatupia jicho la pembeni kwenye kijiji cha jirani na namlipa allowance kwa mwezi ila sio mfanyakazi.

To my surprise, kumbe wamejenga syndicate kubwa mno kati yao viongozi na operators wa trekta na hasa baada ya kumtoa mtoto wangu kwenye kazi zingine nikimwachia uongozi kijana mwingine ambaye nilipewa na mpendwa kanisani graduate wa UDOM wa zaidi ya 5 years experience ambaye kwenye interview showed quite good command of leadership.

Kumbe kwa siri, wameanzisha vijishamba vyao wanalima kwa mafuta yangu ninayowatumia; wanalima mashamba ya wenyeji kwa hela SH. 70,000 kwa ekari na fedha wanagawana kwa siri; matrekta yangu yote mawili yameharibikia kwenye mashamba ya kulimia watu kupata hela, muda wa kulima shamba langu hawana, shamba langu nililopanga kulima 500 acres this year, Limelimwa only 50 acres na matrekta yasingeharibikia huko wangelima hekari zaidi ya 200, ambazo zimethibitishwa kulimwa; gari yangu ya shamba Canter imekatika chasis kumbe wanafanya biashara ya kubebea watu mazao, kokoto na mawe kwa kulipwa hela wanazo pocket kwa kugawana bila sisi kujua na walifanya siri kubwa.

Nilisukumwa kuomba na kufunga for 3 days last week na sasa nipo kwenye maombi ya wiki nzima ya kufunga nikizidi kuomba ustawi na mafanikio kwenye kazi za mikono yangu.

Kwenye migao yao ya fedha za siri mmoja inaelekea hakuridhika na utaratibu wa mgawanyo akiona anapunjwa, walipoona anasumbua wakamfitini na kumfukuza kazi.

Ndiye baadaye aliyeanika syndicate yote ambayo kumbe mpaka mchungaji wa pale niliyemwamini sana sana naye yumo!!!😭😭

Nikimuuliza mchungaji huyo, kulikoni yote haya yanayotokea na yeye akiwamo kuhusu, aliishia kuwa na kigugumizi na ameshindwa kabisa hata kujitetea amebaki kuomba samahani!!!!

Waafrika tunaenda wapi jamaniii!!!😭😭😭
Umaskini kweli utaondoka kwa kuwa na roho chafu na mbaya kiasi hiki kweli!!

Hivi kama sio wokovu nilionao, watu kama hao akipigwa risasi na mwekezaji mwingine kama mimi, tutamlaumu hawa wezi, walafi, watu wasio na soni wala huruma kama hawa kweli?

Nimejinyima miaka yangu yote mpaka uzeeni ili niweke urithi kwa vizazi vyangu, nijisikie nilipambana wajukuu waje kuanzia maisha bora zaidi ya yale tuliyoishi sisi, tunaishia kuwekeza kwa wezi vijana wasio na roho kiasi hiki.

Nimeshea hili ili kama taifa tujitafakari tunakwenda wapi kwa kizazi hiki tulichonacho. Hawa ndio tunaowatengeneza wawe viongozi wa kitaifa, nchi itaweza kusogea kwa mentality ya jinsi hii.

Binafsi nimeamua kutafuta ku-employ Indians or Chinese kuendesha miradi yangu, nimechoka na waswahili acha waendelee kuwa vibarua na watumwa milele na laana zao.

Waafrika tusiporudi kumtafuta na kumwinamia Mungu kwa dhamira ya dhati mioyoni mwetu, laana ya umaskini na utumwa itaendelea kututafuna milele mpaka mwisho wa dunia

Nawashuhudia nyote kwamba Maombi yanafunua hata yaliyo sirini yaliyojificha. Mungu anaangalia dhamira iliyo safi mbele zake na humwekea ulinzi mja wake, kwenye hili, binafsi nimemuona Mungu akitenda.

Glory to God Almighty🙏🏻🙏🏻🙏🏻

View attachment 3113352
Pole mkuu mradi wako ni mzuri ila umekosa management nzuri kwanza ukutakiwa kuajiri mtu mnaefahamiana , ulitakiwa kuadvance technology Moja kufunga gps tracker kwenye vifaa vyote alafu kama Kuna kazi shambani Ili kifaa kitoke kinatoka Kwa approval maana mwisho Inatakiwa kuonyesha kazi iliyofanyika na mafuta yaliyotumika pia unacheki Kwa gps tracker wapi chombo kilikuwa , niajua hizi mambo sana coz nimekuwa Kwa hii industry Kwa mda sasa .
Pia unatakiwa kufanya visit mda wowote bila mtu yoyote kujua hasa wikiend pia anzisha mfumo wa weekly report ya kinachotalajiwa kufanyika , kilicho fanyika na Kwa kiasi gani Ili unapokuja unawabana Kwa hapo kulingana na kilichopo shambani.

Pia mfumo wa mafuta Kuna utaratibu wa kubana Ili mambo yaende vizuri ukiwa unaelewa hizo mbinu upigaji utakuwa 5% hadi 0
 
Mimi naona shida nikuanza mradi mkubwa ghafra bila uzoefu, ungeanza na eka 50 mfano mwaka wa kwanza, uzoefu unaoupata uongeze taratibu, mradi mkubwa wa ghafra bila uzoefu hata Kama una mtaji ni tatizo
 
Hongera sana boss kwa kujitahid kuweka uzalendo mbele lakini wazalendo wakakuangusha.
Elimu ya tanzania imefeli pakubwa sana maana inaaminisha wahitimi kuwa mafanikio ni kuwa na pesa nyingi kwa haraka sana bila kuzingatia maadili,hii ndio sababu ya taifa kuwa na incompetent experts na machawa wengi.Pole sana maana naamini wamekurudisha nyuma sana kwenye malengo yako.

Ila na wewe kuongozi ulikosea kwa kuwapa uhuru mkubwa,usiamini mtu kaa kile anachokiongea.Watu wanamipango mizuri lakin utekelezaji hakuna,ndio elimu yetu ya kuandika essay ilivyotuandaa boss.

Walipe pesa nzuri halafu wabane kwelikweli,kipimo kikuu kiwe matokeo ya kazi zao na sio sababu zilizowafanya kushindwa kufanya kazi.Tengeneza mazingira ya taarifa kukufikia kiurahisi wakati ambao bado unajenga strong administration team inagoamini katika maono yako ili kuweza kujua tatizo mapema kabla halijawa kubwa.Kuna mdau amekushauri mfumo wa ripot,nafikir ukiutumia huu utakuwezesha kutrace movement zote za mashine zako.

Pia funga cctv kwa baadhi ya maeneo muhimu ili kufatilia nyendo za utendaji kazi za vijana wako,maana uko mbali na eneo la tukio lakin utakua na uwezo wa kuaccess video za nini kinaendelea shambani kwako maramoja moja
Tour za kushtukiza ni muhimu sana ili kukuza uangalizi na usimamizi.
Majukumu ya wafanyakazi yawe waźi kwa kila mfanyakazi,kusiwe na ile mob responsibilities isiyodhibitiwa maana hii hukuza uvivu,
Chain of command ijulikane ili teamleaders wawashiwe moto pale panapotokea uzembe
Kila mfanyakazi awekewe target za kufikia kuanzia kwa main supervisors mpaka yule mfanyakazi wa mwisho na mtu akishindwa kufikia target yake aondolewe ili kukuza discipline kwa wanaobaki.

Nafikir ukizingatia haya na yale uliyokuwa nayo mwanzoni,mambo yako yatakunyookea.Tanzania tunahitaji mabilionea wengi ili kukuza uchuki na kuzalisha ajira.

Pole sana kwa yaliyokuuuta ila pia Wapendwa wengi wanashida katika utafutaji aa mali,kuwa nao makini kama hakufai muondoe tu kqa amani Biblia haijalazimisha mpendwa kuajiri mpendwa,angalia mifumo ya katoliki ni taaluma kwanza then dini baadaye
 
Kuna watu wanatuharibia sana wengine, tunakua hatuaminiki zinapotokea nafasi za kazi kama hizo.
 
Mkuu Hao watu huko shambani utawaonea bure.

Matatizo Yako yanasababishwa na watu wako, marafiki zako, ndugu zako wa karibu ambao hawako huko shambani.
 
Prof. Minzi na wengine!

Sijui kama waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral level. Kwa nini nasema hivyo?

Nimewekeza hela nyingi sana kununua mashamba Mkoa wa Rukwa wilaya ya Kalambo about 2,000 acres.
Nimeajiri na nalipa mishahara mizuri kila mwezi for the second year! Sijaweza hata kuvuna kuanza kurudisha hela nilizowekeza. Wanapata malazi na chakula bure nje ya misharaha yao kwenye kambi ambayo nimejenga nyumba kadhaa, nimewekeza matrekta ya kilimo na mwaka huu ilikuwa tulime 500 acres kwa kuanzia. mafuta wanatumiwa, fedha za matumizi madogo madogo wanatumiwa, viongozi ni watu wazima wa elimu ya chuo kikuu nikifikiri natoa ajira kwa waafrika wenzangu. Wapo wafanyakazi kama 50 wote kila mwezi wana mishahara na kula na kulala bure kwani ni mbali na mjini.

İli kusimamia nilimweka mtoto wangu wa kiume asimamie baada ya masomo ya diploma, nikamwondoa baadaye aweze kupata exposure kwenye miradi mingine. Nilimweka mpaka mchungaji rafiki yangu wa siku nyingi awe anatupia jicho la pembeni kwenye kijiji cha jirani na namlipa allowance kwa mwezi ila sio mfanyakazi.

To my surprise, kumbe wamejenga syndicate kubwa mno kati yao viongozi na operators wa trekta na hasa baada ya kumtoa mtoto wangu kwenye kazi zingine nikimwachia uongozi kijana mwingine ambaye nilipewa na mpendwa kanisani graduate wa UDOM wa zaidi ya 5 years experience ambaye kwenye interview showed quite good command of leadership.

Kumbe kwa siri, wameanzisha vijishamba vyao wanalima kwa mafuta yangu ninayowatumia; wanalima mashamba ya wenyeji kwa hela SH. 70,000 kwa ekari na fedha wanagawana kwa siri; matrekta yangu yote mawili yameharibikia kwenye mashamba ya kulimia watu kupata hela, muda wa kulima shamba langu hawana, shamba langu nililopanga kulima 500 acres this year, Limelimwa only 50 acres na matrekta yasingeharibikia huko wangelima hekari zaidi ya 200, ambazo zimethibitishwa kulimwa; gari yangu ya shamba Canter imekatika chasis kumbe wanafanya biashara ya kubebea watu mazao, kokoto na mawe kwa kulipwa hela wanazo pocket kwa kugawana bila sisi kujua na walifanya siri kubwa.

Nilisukumwa kuomba na kufunga for 3 days last week na sasa nipo kwenye maombi ya wiki nzima ya kufunga nikizidi kuomba ustawi na mafanikio kwenye kazi za mikono yangu.

Kwenye migao yao ya fedha za siri mmoja inaelekea hakuridhika na utaratibu wa mgawanyo akiona anapunjwa, walipoona anasumbua wakamfitini na kumfukuza kazi.

Ndiye baadaye aliyeanika syndicate yote ambayo kumbe mpaka mchungaji wa pale niliyemwamini sana sana naye yumo!!!😭😭

Nikimuuliza mchungaji huyo, kulikoni yote haya yanayotokea na yeye akiwamo kuhusu, aliishia kuwa na kigugumizi na ameshindwa kabisa hata kujitetea amebaki kuomba samahani!!!!

Waafrika tunaenda wapi jamaniii!!!😭😭😭
Umaskini kweli utaondoka kwa kuwa na roho chafu na mbaya kiasi hiki kweli!!

Hivi kama sio wokovu nilionao, watu kama hao akipigwa risasi na mwekezaji mwingine kama mimi, tutamlaumu hawa wezi, walafi, watu wasio na soni wala huruma kama hawa kweli?

Nimejinyima miaka yangu yote mpaka uzeeni ili niweke urithi kwa vizazi vyangu, nijisikie nilipambana wajukuu waje kuanzia maisha bora zaidi ya yale tuliyoishi sisi, tunaishia kuwekeza kwa wezi vijana wasio na roho kiasi hiki.

Nimeshea hili ili kama taifa tujitafakari tunakwenda wapi kwa kizazi hiki tulichonacho. Hawa ndio tunaowatengeneza wawe viongozi wa kitaifa, nchi itaweza kusogea kwa mentality ya jinsi hii.

Binafsi nimeamua kutafuta ku-employ Indians or Chinese kuendesha miradi yangu, nimechoka na waswahili acha waendelee kuwa vibarua na watumwa milele na laana zao.

Waafrika tusiporudi kumtafuta na kumwinamia Mungu kwa dhamira ya dhati mioyoni mwetu, laana ya umaskini na utumwa itaendelea kututafuna milele mpaka mwisho wa dunia

Nawashuhudia nyote kwamba Maombi yanafunua hata yaliyo sirini yaliyojificha. Mungu anaangalia dhamira iliyo safi mbele zake na humwekea ulinzi mja wake, kwenye hili, binafsi nimemuona Mungu akitenda.

Glory to God Almighty🙏🏻🙏🏻🙏🏻

View attachment 3113352
Siyo tu inasikitisha, inatisha.

Nilidhani mambo hayo yanawapata diaspora tu.
 
Ukisikia uchawi live ndiyo huo.

Hao ni zaidi ya wachawi, ni mafisadi na wahujunu uchumi.

Hayo ndiyo yapo miradi yote ya serikalini.
. Halafu tutegemee maendeleo nchi hii?
 
Yote uliyoandika ni kweli kitu kinaitwa uaminifu kwa mtz awe mzee au kijana mwanaume au mwanamke haupo
 
Back
Top Bottom