Sidhani kama Waafrika tutaendelea na kufanikiwa kama Wazungu, Wahindi, Wachina, Waarabu, nk

Ukisikia uchawi live ndiyo huo.

Hao ni zaidi ya wachawi, ni mafisadi na wahujunu uchumi.

Hayo ndiyo yapo miradi yote ya serikalini.
. Halafu tutegemee maendeleo nchi hii?
Kweli kabisa dada Faiza huko serikalini ndio hatari zaidi
Ni dhulma na ufisadi.
 
Mungu awaongoze Watanzania.
 
Inaumiza sana aisee... Ili ufanikiwe ni lazima uwe na taasisi yako binafsi ya upelelezi wa watu wako na miradi yako
 
Mahala alipo mzungu lazima pastasi lakini ngozi nyeusi Sijui ina matatizo gani aisee!
 
Niweke mimi shambani hapo. Tutalima lote hilo, toa vijana wote hao. Nipe uongozi mkuu.
 
Maadili kwa watanzania ni bure kabisa, cha kushangaza makanisa na misikiti inajaa kila wiki sijui tunasali ili iweje
 
Acha kufanya biashara kizamani , Tafuta business consultant ambae ni auditor pia akuchoree control systems nzuri za kampuni yako kuanzia assets , revenue na expenses aweke mifumo ambayo inasomana na watu wanaoisimamia hata ukiwa dar unaona nini kinaendelea kwenye kampuni yako hakikisha una monitor kila kitu .Kingine wasimamizi wawe qualified professionals kama unawaona ni gharama basi endelea kula hasara . af kingine hio ni biashara ukianza kuleta mambo ya wapendwa kwenye biashara wapendwa watakufilisi na hutowafanya kitu ukipiga mdomo sana mtamalizana kanisani utabaki na hasara yako na cha huzuni ni wao ndio watakucheka siku ukianguka
 
Yani sisi ni wezi by nature na hatuna huruma. Nakwambia unamwajiri dada pharmacy, badala ya kuuza dawa zako anauza zake zako zinadoda anakwambia hakuna wateja. Wakati unamlipa mshahara, unalipia fremu, unalipa kodi TRA ila yeye anauza za kwake.
Yani watu hawana huruma kabisa.
Sasa mkuu fanya kutafuta kampuni fulani zinakufungia mfumo kujua trekta liko wapi, limefanya kazi masaa mangapi, limelima kiasi gani, kila kitu unakipata kwenye computer au simu yako. Na watakaofanya wizi weka ndani hizo mbwa usiwachekee.
 
Tz mazingira ya kusema nitafutie sijui mwekezaji ni kutafuta kukosana na watu bora ufanye yako mwenyewe. Nasisitiza amna mtu mwenye uchungu na hela yako kama wewe mwenyewe
 
Upo sahihi mkuu
 
Tatizo la jamii za kiafrika nikwamba utajiri uliruka vizazi vinne, hivyo basi kila anayepata nafasi atatumia fursa ipasavyo kuhakikisha anayafukia hayo mashimo.

Hata wewe ndugu mlalamikaji usikute huko nyuma kuna rafu nyingi sana ulishazifanya kulingana na nafasi uliyowahi kuwa nayo. Kwahyo jamii za watu weusi kiufupi kimaadili zimeoza kabisa haswa haswa linapokuja suala zima la pesa.

Leo hii hata tumuweke mchungaji ama sheikh tunayemuamini kabisa kweny nafasi Fulani , linapokuja suala la pesa tuuu lazima atatupindua.

NB: BIASHARA YOYOTE UTAKAYOIFUNGUA , KAMA HUNA MUDA KUISIMAMIA WE MWENYEW, AISEE ACHANA NAYO KABISAAAA.

HII NGOZI YA MBUPU SIO YA KUIAMINI HATA SIKU MOJA.
 
Eka 500 Kwa uzoefu wangu wa shamba uko hivi
Tuanzie heka mbili kama ni Pori chafu sana linatakiwa lisafishwe siku 5 Hadi 6 maximum linatakiwa lilimwe na kufanyiwa ploughing maximum siku 6 mashimo Kwa ajili ya kupandia maximum siku 5 Kwa dimension, haya mahesabu ya kutumia only 2 labours na local tools kama jembe panga na sululu
Nikitumia advance tool kama tractor Kwa siku lazma Tulime sio chini ya hecre kumi
Kama kila kitu kipo standby Kwa hiyo mwezi na nusu mmoja acre 500 ziko tayari Kwa farm setting
Nimejifinza kupitia kosa la kumuamini mtu Kwa kusema huyu NI mtu mzima anaweza kujiongoza, hili ni kosa kubwa mno
Mtu mweusi lazma asimamiwe Kwa kumaanisha ukizingua Tu ujue unarudi kijijini kuchoma mkaa
Afu pia kuna watu wa mikoa Fulani ukifanya nao kazi lazma utoboe mfano watu wa kigoma ni heavy duty
Njoo inbox na dau linalo sound vizuri above 2million per month uone tunavyofanya kazi kama nzige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…